Acha matusi weh mthenge maji!Unapiga ngoma unacheza mwenyewe...Israel wakiamua kumuondoa Ayatollah ni suala la muda we endelea na ushabiki wa kikum×
Safari hii Ayatollah anaondokaUnapiga ngoma unacheza mwenyewe...Israel wakiamua kumuondoa Ayatollah ni suala la muda we endelea na ushabiki wa kikum×
Kumuondoa Khamenei japo si jambo zito lakini halina maana kubwa katika vita na kuelekea kusambaratika kwa Israel.Unapiga ngoma unacheza mwenyewe...Israel wakiamua kumuondoa Ayatollah ni suala la muda we endelea na ushabiki wa kikum×
Sema tu ukweli kwamba US akiamua Sio Israel.Unapiga ngoma unacheza mwenyewe...Israel wakiamua kumuondoa Ayatollah ni suala la muda we endelea na ushabiki wa kikum×
Una dalili zote za kutotumia dawa zako kikamilifu ndio maana unaandika vitu vya ajabu ajabu kama headless chicken.Kipigo kikubwa ambacho hakikutarajiwa ndani ya miji ya Israel kimemrusha akili waziri mkuu wa Israel ambapo sasa ameomba msaada kwa wananchi wa Iran akiwaelekeza waandamane kuungusha utawala wa Khomenei.
Netanyahu ameshindwa kujua kuwa mbinu hizo za kuomba msaada wa ndani kwa kuwagonganisha watu haujafanya kazi hata Gaza ambako eneo lote limezingirwa.Hamas tayari wamekiangamiza kikundi kilichopewa silaha ili kusimamia mitego ya chakula na kupigana nao.
Tunaomba evidence...
Vita ni nomaWalijipanga vya kutosha hawakutegemea mishale kuporomoa miji yao