Noma kweli. Si unakumbuka mbwembwe za Narenda Modi wa India.Vita vilipoanza tu ikabidi US iingilie kati kuikoa kwa kumlazimisha kutiliana saini na Pakistan.Vita ni noma
Thaad chali , arrow chali ,david sling chali na iron dome chali air defence zimedata zimekula vyuma kisawasawa.
Israel kapiga MAENEO NYETI ALIYOYATAKA. SIO KUJIRUSHIA TU. NA HANA MPANGO WA KUUA RAIA. AKIAMUA KUUA RAIA IRAN ITAKUWA ZIWA LA DAMUKipigo kikubwa ambacho hakikutarajiwa ndani ya miji ya Israel kimemrusha akili waziri mkuu wa Israel ambapo sasa ameomba msaada kwa wananchi wa Iran akiwaelekeza waandamane kuungusha utawala wa Khomenei.
Netanyahu ameshindwa kujua kuwa mbinu hizo za kuomba msaada wa ndani kwa kuwagonganisha watu hazijafanya kazi hata Gaza ambako eneo lote limezingirwa. Hamas tayari wamekiangamiza kikundi kilichopewa silaha ili kusimamia mitego ya chakula na kupigana nao.
Netanyahu Calls on Iranian People to Overthrow Their Government
Aendelee na ushabiki au aendelee na "ushabiki maandazi"?Unapiga ngoma unacheza mwenyewe...Israel wakiamua kumuondoa Ayatollah ni suala la muda we endelea na ushabiki
Miaka yote US akitaka regime change, huwatumia raia ili kuonyesha kuwa mabadiliko yametokana na raia.Kipigo kikubwa ambacho hakikutarajiwa ndani ya miji ya Israel kimemrusha akili waziri mkuu wa Israel ambapo sasa ameomba msaada kwa wananchi wa Iran akiwaelekeza waandamane kuungusha utawala wa Khomenei.
Netanyahu ameshindwa kujua kuwa mbinu hizo za kuomba msaada wa ndani kwa kuwagonganisha watu hazijafanya kazi hata Gaza ambako eneo lote limezingirwa. Hamas tayari wamekiangamiza kikundi kilichopewa silaha ili kusimamia mitego ya chakula na kupigana nao.
Netanyahu Calls on Iranian People to Overthrow Their Government
Wanasema harakati za Israel na Marekani ndio zimempandisha cheo Khamenei.Miaka yote US akitaka regime change, huwatumia raia ili kuonyesha kuwa mabadiliko yametokana na raia.
Ndicho anachofanya Netanyahu.
Ayattolah soon analiwa kichwa na utawala wa kishetani unafikia tamati.
Cheo kapanda jehanamu au wapi!!??Wanasema harakati za Israel na Marekani ndio zimempandisha cheo Khamenei.
Ama kweli alitakalo Allah hakuna wa kulibadiisha.Hata uwe na nguvu kiasi gani huwezi na kuwa na maamuzi ya uhakika kwa lile unalolitaka.