Netanyahu: Hakujawahi kuwa na rafiki mkubwa wa Israel kutoka ikulu ya Marekani wa kumzidi Donald Trump

Kuna muizrael anaweza kumnunua DT..?
Unaijua AIPAC?
  • ‘AIPAC is more closely affiliated with the Republican Party, especially Trump, because he simply gives Israel everything it wants,’ says Hixson
Kasome hii article
 
Nitaipitia mkuu, ahsante
 
Acha Mwamba asiyetabirika Angie ikulu huku alijua,hatagombea tena. DUNIA ijiandae mpaka M23. Hakuna jiwe litakalobaki juu ja jiwe jingine
Mwamba anakosewa risasi anajamba mpaka harufu inafika afrika?
Mwamba hata raia zake hajapigana? Ngoja watangwane halafu aweze kupambana na challenge hizo
 
Nitaipitia mkuu, ahsante
Yah ipitie hio itakupa perspective mpya kuhusu marekani na israel.

Upande wangu mimi naiona israel kama kirusi fulani kinachoitafuna marekani pole pole na ndio itakayoangusha utawala wa marekani duniani.

Historia ni mwalimu mzuri sana.
Baada ya WW2 (1945), marekani iliimarika sana kichumi na kuwa taifa namba moja duniani kwa uchumi mkubwa.

Tangu wayahudi wapate ardhi pale middle east na kuanzisha taifa la israel (1948) kumekuwa na migogoro mingi sana na mapigano ya hapa na pale. Migogoro hio yote alikua anapelekewa marekani apambane nayo. Mfano vita ya Iraq kipindi cha Sadam. Ile vita ilikua ni ya muisrael ila marekani ndio ilienda kupigana, hivo kushusha uchumi wa marekani pakubwa na kuiachia nafasi china kujiimarisha kiuchumi.
 
Huwezi kumsaidia mtu asiye na faida, USA anawatumia sana wayahudi na ananufaika nao, no wonder anatumia resources nyingi ile sio biashara kichaa
 
Ananufaika kwa kudestabilize eneo lile la middle east ili iwe rahisi kupata resources. Lakini pia kuna gharama anailipia.
 
Mambo ya zamani hayo yameshapitwa na wakati. kwenye technology marekani kaishawashiwa indicator na mchina
5g trump aliizuia kufanya kazi marekani baada ya kuwa imegunduliwa na huwaei ya china....unakumbuka
 
Waliona Huwael inawapiga bao, wakawazui kutumia technology yao. Wachina wakaibuka na technology yoa ikawa imekula kwa marekani🤣🤣
 
Mambo ya zamani hayo yameshapitwa na wakati. kwenye technology marekani kaishawashiwa indicator na mchina
Sio kweli, nenda kafatilie izi kampuni zilivyo na nguvu hakuna wa kumshinda marekani
1. Google [ Search engines]
2. Android systems
3. iOS operating system
4. iPhone product [ apple products]
5. Coca-Cola [ all products]
6. Pepsi cola [ all products]
7. Facebook
8. Tittwer [ X]
9. WhatsApp
10. Instagram
11. Gmail
12. GPS [ satellite 🛰
13. Chanjo zote za watoto zinatoka marekani
14. Dawa za Arv ( kwa wenye ukimwi)
15. Windo operating system
16. Swift system ( huduma ya kusafirisha pesa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni marekani kwa kutumia visa, master card
17. YouTube
18. Micro chip [ Intel ili utumie system za marekani ni lazima uwe nayo kwenye kifaa cha electronics
19. Dollars
19. English language ambayo ndio kiuongo cha mawasiliano ya dunia

Izo ni baadhi ya products ambazo sio waafrika tuuu hata wachina na wazungu wa ulaya wanamtegemea mmarekani kwenye izo products.
Endeleaa kujizima data unafikiri mmarekani kalala kama ulivyolala wewe
 
Tanzania kuna wajinga wengi sana

Trump kama ataendeleza ujinga ndio ataua kabisa empire ya USA maana nchi nyingi zitakimbilia bricks. Sasahivi kuna options sio kama zamani😀😀
BRICKS haina chochote cha maana. Maskini mkijikusanya wengi mnaongeza matatizo. Matajiri wakijikusanya wengi, wanaongeza nguvu.
 
Sio kweli, nenda kafatilie izi kampuni zilivyo na nguvu hakuna wa kumshinda marekani
1. Google [ Search engines]
2. Android systems
3. iOS operating system
4. iPhone product [ apple products]
5. Coca-Cola [ all products]
6. Pepsi cola [ all products]
7. Facebook
8. Tittwer [ X]
9. WhatsApp
10. Instagram
11. Gmail
12. GPS [ satellite 🛰
13. Chanjo zote za watoto zinatoka marekani
14. Dawa za Arv ( kwa wenye ukimwi)
15. Windo operating system
16. Swift system ( huduma ya kusafirisha pesa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni marekani kwa kutumia visa, master card
17. YouTube
18. Micro chip [ Intel ili utumie system za marekani ni lazima uwe nayo kwenye kifaa cha electronics
19. Dollars
19. English language ambayo ndio kiuongo cha mawasiliano ya dunia

Izo ni baadhi ya products ambazo sio waafrika tuuu hata wachina na wazungu wa ulaya wanamtegemea mmarekani kwenye izo products.
Endeleaa kujizima data unafikiri mmarekani kalala kama ulivyolala wewe
🤣🤣🤣 Muda utatoa majibu
 
View attachment 3164709

Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel.

Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran wametajirika mno, Hakuudhuria mkutano bungeni ulioongozwa na Netanyahu, Mara kwa Mara hadi sasa anawawekea vikwazo Israel kwenye silaha, Kuvujisha mipango ya Israel kwa Iran, Kuwalizimisha Israel kusimisha vita, Kuwadekeza waandamaji wa Hamas na Hezbollah wanaofunga barabara na vyuo, n.k
Huyu gaidi angekuwa mwanamke angeshafumuliwa mafla siku nyingi
 
Yah ipitie hio itakupa perspective mpya kuhusu marekani na israel.

Upande wangu mimi naiona israel kama kirusi fulani kinachoitafuna marekani pole pole na ndio itakayoangusha utawala wa marekani duniani.

Historia ni mwalimu mzuri sana.
Baada ya WW2 (1945), marekani iliimarika sana kichumi na kuwa taifa namba moja duniani kwa uchumi mkubwa.

Tangu wayahudi wapate ardhi pale middle east na kuanzisha taifa la israel (1948) kumekuwa na migogoro mingi sana na mapigano ya hapa na pale. Migogoro hio yote alikua anapelekewa marekani apambane nayo. Mfano vita ya Iraq kipindi cha Sadam. Ile vita ilikua ni ya muisrael ila marekani ndio ilienda kupigana, hivo kushusha uchumi wa marekani pakubwa na kuiachia nafasi china kujiimarisha kiuchumi.
Hi post yako itakuja kukumbukwa millele na utakuwa katika miongoni mwa greater thinker .na sasa wanataka usa ipigane na iran kwa niaba ya isrele kitu amabacha kitakuwa ni impossible hivi.amna jinsi usa atapigana na iran ikanaki Salaam kila mtu ataathirika tunaweza kunaza kutembea kwa mguu badala ya kupanda gari .isrel hawezi kuwa asset kuwashinda Saudi Arabia Qatari na UAE..anachotegemea usa ni sunction zake ambazo kupitia brick wameshaanza kuovercome hilo
 
Back
Top Bottom