Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Lakini Netanyahu alisema hataacha vita mpaka kuifuta Hamas huko Gaza. Lakini amesalimu amri inasemekana Trump katoa ultimatum kabla hajaingia Ikulu hataki kusikia habari za mateka Wala vita hapo middle eastNa Hamas wameridhia cease fire jioni hii
Ila Hamas watakua wamejifunzaLakini Netanyahu alisema hataacha vita mpaka kuifuta Hamas huko Gaza. Lakini amesalimu amri inasemekana Trump katoa ultimatum kabla hajaingia Ikulu hataki kusikia habari za mateka Wala vita hapo middle east
Trump ametoa onyo kali kwa magaidi wa Hamas kuwa wasithubutu kubaki na mateka yeyote by the time anaingia ofisini wiki ijayo maana itakuwa ni kiama kwa magaidi na washirika wao.Muda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas na kusitisha vita, pamoja na kubasdilishana mateka.
BiBi hakuwa na namna ila kukubali ceasefire kutokana na shinikizo kutoka Marekan, Israel katika hii vita wasipojifunza kutengeneza silaha zao wenyewe bila kuwategemea USA wataendelea kuuliwa mpaka mwisho wa Dunia.Trump ametoa onyo kali kwa magaidi wa Hamas kuwa wasithubutu kubaki na mateka yeyote by the time anaingia ofisini wiki ijayo maana itakuwa ni kiama kwa magaidi na washirika wao.
Amesema hata lile tukio la kigaidi la October 7 halikutakiwa kutokea...
View: https://youtube.com/shorts/NoP1jnLoY6k?si=ST_cb9FrQl7x5FeN
Hivi Qatar na US Wana share kitu Gani kikubwa zaidi?Mnawahurumia watoto ambao nao hawajihurumii. Leo wanasheherekea na kumuimba Mohamed Deif na Al Qasam Brigades utadhani kwamba ndo wamewasaidia.
Kwa kinachoendelea Gaza leo, Israel ina kazi kubwa sana na wayahudi hawatokaa waishi kwa amani ikiwa USA itaendelea kutiwa mfukoni na Qatar
Uongo,Halafu qatar huyo huyo ndo sponsor mkubwa wa Hamas.
hivi ndugu zangu huwa mnashIndwa kuelewa MAREKANI ndio ISRAEL na ISRAEL ndio MAREKANIBiBi hakuwa na namna ila kukubali ceasefire kutokana na shinikizo kutoka Marekan, Israel katika hii vita wasipojifunza kutengeneza silaha zao wenyewe bila kuwategemea USA wataendelea kuuliwa mpaka mwisho wa Dunia.
Trump effecfMuda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas na kusitisha vita, pamoja na kubasdilishana mateka.
Malengo ya Israel huko Gaza, pili Lebanon (Hezbollah), na tatu Syria yamefanikiwa kwa 100%. Yemen (Houthi) in good progres. Kubwa lao (Iran) limelemazwa kwa kiwango cha kutisha. So, with that in mind, Israel kubadili msimamo ni sahihi.Muda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas na kusitisha vita, pamoja na kubasdilishana mateka.
Unaongea kama viel kichwani una UTI sugu ..iran amemalizwa n a kitu gani kama sio funza zinakusumbuMalengo ya Israel huko Gaza, pili Lebanon (Hezbollah), na tatu Syria yamefanikiwa kwa 100%. Yemen (Houthi) in good progres. Kubwa lao (Iran) limelemazwa kwa kiwango cha kutisha. So, with that in mind, Israel kubadili msimamo ni sahihi.
Kusoma kwenyewe hujui! Jinga.Unaongea kama viel kichwani una UTI sugu ..iran amemalizwa n a kitu gani kama sio funza zinakusumbu
Trump huyu huyu aliyehamishia Ubalozi wa Marekani Jerusalemu?Lakini Netanyahu alisema hataacha vita mpaka kuifuta Hamas huko Gaza. Lakini amesalimu amri inasemekana Trump katoa ultimatum kabla hajaingia Ikulu hataki kusikia habari za mateka Wala vita hapo middle east
Na Norway kuna kikao cha dunia kujadili vita vya Gaza na mustakabali wa taifa huru la palestina,wakati huohuo blinken kawazodoa waisrael wasidhani palestina wataacha mapambano kwa kuuawa,njia pekee ya amani ya kweli ni palestina kuwa na taifa lao, something cookingLakini Netanyahu alisema hataacha vita mpaka kuifuta Hamas huko Gaza. Lakini amesalimu amri inasemekana Trump katoa ultimatum kabla hajaingia Ikulu hataki kusikia habari za mateka Wala vita hapo middle east
Unawajua Hamas vizuri!?Ila Hamas watakua wamejifunza
https://www.timesofisrael.com/in-is...eighbors-hinges-on-path-to-palestinian-state/Trump huyu huyu aliyehamishia Ubalozi wa Marekani Jerusalemu?
Siku sio nyingi utakuja na nyuzi za kumkataa.