Netanyahu in 2023: There will be no Ceasefire in Gaza Netanyahu in 2025: We are waiting for Hamas's response to the ceasefire proposal...

Lakini Netanyahu alisema hataacha vita mpaka kuifuta Hamas huko Gaza. Lakini amesalimu amri inasemekana Trump katoa ultimatum kabla hajaingia Ikulu hataki kusikia habari za mateka Wala vita hapo middle east
Ila Hamas watakua wamejifunza
 
Muda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas na kusitisha vita, pamoja na kubasdilishana mateka.
Trump ametoa onyo kali kwa magaidi wa Hamas kuwa wasithubutu kubaki na mateka yeyote by the time anaingia ofisini wiki ijayo maana itakuwa ni kiama kwa magaidi na washirika wao.

Amesema hata lile tukio la kigaidi la October 7 halikutakiwa kutokea...

View: https://youtube.com/shorts/NoP1jnLoY6k?si=ST_cb9FrQl7x5FeN
 
BiBi hakuwa na namna ila kukubali ceasefire kutokana na shinikizo kutoka Marekan, Israel katika hii vita wasipojifunza kutengeneza silaha zao wenyewe bila kuwategemea USA wataendelea kuuliwa mpaka mwisho wa Dunia.
 
Mnawahurumia watoto ambao nao hawajihurumii. Leo wanasheherekea na kumuimba Mohamed Deif na Al Qasam Brigades utadhani kwamba ndo wamewasaidia.

Kwa kinachoendelea Gaza leo, Israel ina kazi kubwa sana na wayahudi hawatokaa waishi kwa amani ikiwa USA itaendelea kutiwa mfukoni na Qatar
Hivi Qatar na US Wana share kitu Gani kikubwa zaidi?
 
Kwa mtindo huu next time Hamas watateka waisrael wengi zaidi Ili kuja ku negotiate baadae.
 
BiBi hakuwa na namna ila kukubali ceasefire kutokana na shinikizo kutoka Marekan, Israel katika hii vita wasipojifunza kutengeneza silaha zao wenyewe bila kuwategemea USA wataendelea kuuliwa mpaka mwisho wa Dunia.
hivi ndugu zangu huwa mnashIndwa kuelewa MAREKANI ndio ISRAEL na ISRAEL ndio MAREKANI
Hivi unajua kuwa SERIKALI ya MAREKANI haimiliki KIWANDA CHOCHOTE MAMA cha kuzarisha siraha
SERIKALI ya MAREKANI inaorder SILAHA na PART za kutengeneza NDEGE VITA MERI VITA MANUWARI NYAMBIZI kutoka kampuni BINAFSI
sasa hizo KAMPUNI BINAFSI 90% zinamilikiwa na WAISRAEL
BIASHARA ya SILAHA ni biashara kubwa sana na yenye FAIDA kubwa kwa mabwanyenye wa KIMAREKANI
Ndio maana hata JFK walimla kichwa alipotaka kusitisha VIETNAM WAR 7bu Chenoby hellcopter na HUEY(Bell UH-1 Iroquois) zilikuwa zinawapa faida kubwa hao mabwanyenye wa kiisrael

sasa unaposema WAISRAEL wajifunze nakushangaa sana
 
Muda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas na kusitisha vita, pamoja na kubasdilishana mateka.
Malengo ya Israel huko Gaza, pili Lebanon (Hezbollah), na tatu Syria yamefanikiwa kwa 100%. Yemen (Houthi) in good progres. Kubwa lao (Iran) limelemazwa kwa kiwango cha kutisha. So, with that in mind, Israel kubadili msimamo ni sahihi.
 
Unaongea kama viel kichwani una UTI sugu ..iran amemalizwa n a kitu gani kama sio funza zinakusumbu
 
Lakini Netanyahu alisema hataacha vita mpaka kuifuta Hamas huko Gaza. Lakini amesalimu amri inasemekana Trump katoa ultimatum kabla hajaingia Ikulu hataki kusikia habari za mateka Wala vita hapo middle east
Trump huyu huyu aliyehamishia Ubalozi wa Marekani Jerusalemu?

Siku sio nyingi utakuja na nyuzi za kumkataa.
 
Lakini Netanyahu alisema hataacha vita mpaka kuifuta Hamas huko Gaza. Lakini amesalimu amri inasemekana Trump katoa ultimatum kabla hajaingia Ikulu hataki kusikia habari za mateka Wala vita hapo middle east
Na Norway kuna kikao cha dunia kujadili vita vya Gaza na mustakabali wa taifa huru la palestina,wakati huohuo blinken kawazodoa waisrael wasidhani palestina wataacha mapambano kwa kuuawa,njia pekee ya amani ya kweli ni palestina kuwa na taifa lao, something cooking
 
Ceasefire na nani tena?
Hiyo Gaza si imebaki magofu?
Hao hamas kwani bado wapo?
Aseme tu opareshen wamemaliza sio ceasefire.
 
Back
Top Bottom