Netanyahu kufanyiwa upasuaji wa ngiri,huku usajili wa askari kupigana Gaza ukianza kuwa mshike mshike.

Netanyahu kufanyiwa upasuaji wa ngiri,huku usajili wa askari kupigana Gaza ukianza kuwa mshike mshike.

Mungu anampiga fimbo kidogo kidogo huu upasuaji wa pili hapo alipo kafungwa kifaa cha moyo kusaidia mapigo ya moyo kaambiwa anatakowa kupumzika na Hamas bado wapo badala ya kuwamaliza anamalizwa yeye.

Mwenzake Sharon alipata kiharusi cha kuvuja damu toka 2006, na alibaki katika kituo cha utunzaji wa muda mrefu kwenye mashine mwishoni mwa 2006 hadi kifo chake. Sharon alikufa Januari 2014 baada ya kumtolea mashine kaawacha Hamas

huyu nae anaelekea huko huko muda si mrefu laana ya kuuwa watoto na wanawake lazima imtafune.
Ariel Sharon alikuwa overwheight baada ya kuacha jeshi hivyo akawa na high blood pressure kubwa sana. Hata hivyo, angalau yeye alikuwa na punje kidogo za busara kwa vile aliwahi kuongoza vita na anajua madhara ya kuwa na maadui. Mwaka 2005 kabla hajapatwa kiharusi, aliwaondoa masetla wa kiyahudi kutoka kwenye ardhi ya Palestina kwa nguvu. Lakini huyu Netenyahau ndiye kiongozi wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye taifa la Israel; ni mbaguzi na hana busara hata kidogo
 
Dunia haitakiwi kuruhusu UISLAM kua wa itikadi Kali.

Urusi wenyewe wakati wa Usovieti waliacha Jimbo la Chechen kua la msimamo Mkali baadae wakaipata pata.

Putin anashika madaraka akaamua kutembea kichapo, mpaka Leo Kuna Kuna UISLAM legelege.

WACHINA ndo kabisaa hawataki kusikia .

Hata hiii Zanzibar, naliona kosa kubwa la kuacha Nchi hii kufungamana zaidi na Nchi za Kiislam ,wakati Zanzibar ni Ardhi ya Tanzania .

Usalama wa Taifa wasiruhusu Suala hili liendelee kushamiri.
Zanzibar ni nchi huru acha ukoloni na fikra za kizandiki ewe mtu mweusi uliyetawaliwa na watu wa ughaibuni unaona ufahari sana ku mkoloni mtu mweusi mwenzako kama sio ushenzi ni nini ?.
 
Sina uhakika wa Chanzo chako Cha habari.

Ila nyie jamaa mna ujinga mwingi, kwahiyo hapo habari mbaya ni upasuaji wa hernia,?.

Netanyau anafanya Ethnic cleansing , subiri DONALD TRUMP achukue USA....mtakubali

Si aliishia kwa Kunifanya Jerusalem kua mji mkuu wa Israel?.

Jiandaeni, safari hiii anabomoa Msikiti wenu wa Al Aqsa
Wenye akili wanamuona ni failure anatapatapa tu na tunamuomba mungu akipigwa nusu kaputi asizinduke tena
 
Attachments

  • Screenshot_20240331-225741_Instagram.jpg
    Screenshot_20240331-225741_Instagram.jpg
    373.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240331-191326_Facebook.jpg
    Screenshot_20240331-191326_Facebook.jpg
    396.2 KB · Views: 2
Imeelezwa kuwa kiongozi wa Israel,Benjamin Netanyahu anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa ngiri muda wowote kuanzia kesha.
Kesho hiyo hiyo mwanasheria mkuu wa serikali anatarajiwa kusaini sheria ya kuwalazimisha wayahudi wa msimamo mkali kuingizwa jeshini kwa lazima.
Mayahudi wa mrengo huo pamoja na kuwa na uhasidi na wapalestina lakini hawako tayari kuingia jeshini kwenda kupigana na Hamas.
Haijafahamika kwa uwazi kwanini sheria ya kulazmisha usajili jeshini unaoanza sasa umetokana na nini.Jee ni kutokana na askari wengi kufa na kuumia au ni kuanza kukimbia kwa baadhi ya askari hao au imetokana na nini hasa.

Netanyahu to have hernia surgery under full anesthesia, deputy PM to temporarily step in

Kumbe hili Gaidi lina Busha limepigwa nusu kaputi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20240401-000039~2.png
    Screenshot_20240401-000039~2.png
    354.7 KB · Views: 2
Wenye akili wanamuona ni failure anatapatapa tu na tunamuomba mungu akipigwa nusu kaputi asizinduke tena
Ningependa Netanyahu baada ya operation hiyo asitaafishwe kwa nguvu asirudie siasa tena
 
Eehh peponi Kwa mabikra ?? Basi nasisi Wayahudi tukiwaua waislam, ndo mtuliee,

Mmeua Wayahudi 1267.. tumewaua zaidi ya elfu kumi Tano...
Yaan mpaka mkubali.

Sahizi tunawapiga Kwa utapiamlo, tumeblok Gaza hamna kutoka Wala kuingiaaa.

Huyo Muhammad wenu awaokoe Sasa.
Hizi mentality wazee duh
 
Dini ya Amani inakufundisha kukupatia Maadui wasio kutendea chochote kibaya.
Dini inasema Maadui zenu ni Mayahudi na Manaswala yaani Wakristo.
Vipi Wabudha, Wahindu, Warastafariani, ,Wafreemasonry, Wasatanism, Waruseferian, wa Fuvu la Kichwa.
Wote hao ni wema isipokuwa Wayahudi na Wakristo tu basi
Unaenda Madrasa inayo kufundisha uwaite watu walio umbwa na Mungu kuwa ni Makafiri.
Hivi Waislamu mngekuwa watu stahiki labda, sasa huyo Allah kwanini awaumbe watu Makafiri?
Si angeliwaumbeni nyingi watu Bora ili mumridhishe Alla na Mtume wake Bora Muhammadi?

Allah anawaumbaje watu asio wapenda?
 
Tukisema tuseme tunaishia kuitwa wachochezi.
Mchochezi Mkuu ni Allah na Mtume wake mmoja tu Muhammadi.
Allah anaumba watu asio wapenda na kuwaamuru muwachinje.
Mimi nikiwa na akili yangu timamu nasema wazi kabisa kuwa huyo Mungu wenu Allah mimi simpendi kabisa na sihitaji chochote toka kwake.

Ni Mungu mwenye chuki mbaya sana.
Kwetu Wakristo na Wayahudi.
Mwambieni kuwa mimi Simtaki.
 
Mkuu hata Roma Vatican Kuna wakati Raia wanaandamana Kwa kutokubaliana na mambo fulan fulan.

Wanaandama wakitaka Netanyau asitishe vita .

Ila ni sababu hawajui walitendalo.

Kwa walichofanya Hamas, Hawa sio wa kuonea huruma ni kuwachakaza na kusafisha.
Yaani watu kwa maelfu wameamua kuzuia njia za kuingia bungeni na wanataka vita viishe waishi kwa furaha wewe unasema hawajui walifanyalo na wao wako huko huko.Wewe unayekaa Buza ndio unajua zaidi !
 
Sema nyie jamaa mna akili ndogo sana. Sana...
Aliyewanyima elimu dunia aliwakosea sana hamjui tu
Elimu zote zipo kwetu.Hata elimu ya dunia mtu wa mwanzo kuchukua kutoka kwetu ni Papa Sylvester aliyesoma kwenye madrasa na kufuzu somo la hesabati.
 
Anapigana tu na kikundi cha mgambo hadi anafanyiwa operation ya ngiri
 
Mungu anampiga fimbo kidogo kidogo huu upasuaji wa pili hapo alipo kafungwa kifaa cha moyo kusaidia mapigo ya moyo kaambiwa anatakowa kupumzika na Hamas bado wapo badala ya kuwamaliza anamalizwa yeye.

Mwenzake Sharon alipata kiharusi cha kuvuja damu toka 2006, na alibaki katika kituo cha utunzaji wa muda mrefu kwenye mashine mwishoni mwa 2006 hadi kifo chake. Sharon alikufa Januari 2014 baada ya kumtolea mashine kaawacha Hamas

huyu nae anaelekea huko huko muda si mrefu laana ya kuuwa watoto na wanawake lazima imtafune.
Wewe utaishi milele sheikh
 
Rais Marekani hata aje nani hawezi kupambana na uislam. Ataishia kuumwa ngiri au tezi dume. Maradhi ya watu maskini dunani wanaumwa wao
Mwenyezi Mungu ana silaha kali za kila aina kuangamiza maadui zake na wenye kibri kupitiliza.
Baba yake nabii Ibrahim aliuliwa na mbu tu.
 
Ariel Sharon alikuwa overwheight baada ya kuacha jeshi hivyo akawa na high blood pressure kubwa sana. Hata hivyo, angalau yeye alikuwa na punje kidogo za busara kwa vile aliwahi kuongoza vita na anajua madhara ya kuwa na maadui. Mwaka 2005 kabla hajapatwa kiharusi, aliwaondoa masetla wa kiyahudi kutoka kwenye ardhi ya Palestina kwa nguvu. Lakini huyu Netenyahau ndiye kiongozi wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye taifa la Israel; ni mbaguzi na hana busara hata kidogo
Netanyahu aliamini nguvu ya silaha alizonazo na za kisasa kutoka US ndio karata ya ushindi.Akadhani ukiua watu wengi na kuwanyima chakula basi waliobaki wataogopa na kujisalimisha.
Akadhani ni rahisi kuwanyanyang'anya mateka kutoka mikononi mwa Hamas na kuwarudisha kwa ndugu zao halafu apigiwe makofi.Ile picha ya Entebe aliiamini sana na kutaraji ingejirudia.
 
Uwa nacheka sana Wakirsto Watanzania eti nao wanajitapa wasomi kama huyu eti naye msomi hizi div one za kanisa za kupeana zinawajaza sana ujinga 😂😂😂 sasa kama huyu anifahamu kabisa anasema tuna akili ndogo unaweza kukuta familia yako mzima wanaumwa UTI sugu wanakunya kwenye shimo😅
Kwa wewe hata ukiwa na phd bado utaonekana kilaza tu maana una low reasoning capacity🙄

Kwani Ariel Sharon alifariki akiwa na umri gani? Haya fananisha umri alioishi mtume wako na huo wa Sharon ...

Mtu anafariki na 85 yrs haya toa miaka nane ya kukaa kwenye mashine unapata ngapi si sabini na kitu hapo?

Kwani ukoo wako wote mnakufa na miaka mia mia? Na kama mnakufa na umri chini ya miaka ya Netanyahu nini sababu hapo? au na nyie mna laana ya kuuwa wayahudi?
 
Kwa wewe hata ukiwa na phd bado utaonekana kilaza tu maana una low reasoning capacity🙄

Kwani Ariel Sharon alifariki akiwa na umri gani? Haya fananisha umri alioishi mtume wako na huo wa Sharon ...

Mtu anafariki na 85 yrs haya toa miaka nane ya kukaa kwenye mashine unapata ngapi si sabini na kitu hapo?

Kwani ukoo wako wote mnakufa na miakamia mia? Na kama mnakufa na umri chini ya miaka ya Netanyahu nini sababu hapo? au na nyie mna laana ya kuuwa wayahudi?
Wewe utakuwa na ITI ya ubongo huu uharo uliondika ndiyo mnafundishwa huko Kanisani siku ingine usiandike uharo kama huu. Huko kwenu kijijini huwa mnakaa kwenye mashine muda gani?
Mtu anakaa kwenya mashine miaka 8 unaona kawaida umemuingiza Mtume ngoja na mimi nikuulze juzi ilikuwa Pasaka Yesu alitundikwa msalabani na Wayahudi wakamvalisha na nepi leo unakesha JF kuwashangilia Mahayaudi 🤣🤣
 
Back
Top Bottom