Netanyahu kufanyiwa upasuaji wa ngiri,huku usajili wa askari kupigana Gaza ukianza kuwa mshike mshike.

Ariel Sharon alikuwa overwheight baada ya kuacha jeshi hivyo akawa na high blood pressure kubwa sana. Hata hivyo, angalau yeye alikuwa na punje kidogo za busara kwa vile aliwahi kuongoza vita na anajua madhara ya kuwa na maadui. Mwaka 2005 kabla hajapatwa kiharusi, aliwaondoa masetla wa kiyahudi kutoka kwenye ardhi ya Palestina kwa nguvu. Lakini huyu Netenyahau ndiye kiongozi wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye taifa la Israel; ni mbaguzi na hana busara hata kidogo
 
Zanzibar ni nchi huru acha ukoloni na fikra za kizandiki ewe mtu mweusi uliyetawaliwa na watu wa ughaibuni unaona ufahari sana ku mkoloni mtu mweusi mwenzako kama sio ushenzi ni nini ?.
 
Wenye akili wanamuona ni failure anatapatapa tu na tunamuomba mungu akipigwa nusu kaputi asizinduke tena
 

Attachments

  • Screenshot_20240331-225741_Instagram.jpg
    373.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240331-191326_Facebook.jpg
    396.2 KB · Views: 2
Kumbe hili Gaidi lina Busha limepigwa nusu kaputi 🤣🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20240401-000039~2.png
    354.7 KB · Views: 2
Wenye akili wanamuona ni failure anatapatapa tu na tunamuomba mungu akipigwa nusu kaputi asizinduke tena
Ningependa Netanyahu baada ya operation hiyo asitaafishwe kwa nguvu asirudie siasa tena
 
Hizi mentality wazee duh
 
Dini ya Amani inakufundisha kukupatia Maadui wasio kutendea chochote kibaya.
Dini inasema Maadui zenu ni Mayahudi na Manaswala yaani Wakristo.
Vipi Wabudha, Wahindu, Warastafariani, ,Wafreemasonry, Wasatanism, Waruseferian, wa Fuvu la Kichwa.
Wote hao ni wema isipokuwa Wayahudi na Wakristo tu basi
Unaenda Madrasa inayo kufundisha uwaite watu walio umbwa na Mungu kuwa ni Makafiri.
Hivi Waislamu mngekuwa watu stahiki labda, sasa huyo Allah kwanini awaumbe watu Makafiri?
Si angeliwaumbeni nyingi watu Bora ili mumridhishe Alla na Mtume wake Bora Muhammadi?

Allah anawaumbaje watu asio wapenda?
 
Tukisema tuseme tunaishia kuitwa wachochezi.
Mchochezi Mkuu ni Allah na Mtume wake mmoja tu Muhammadi.
Allah anaumba watu asio wapenda na kuwaamuru muwachinje.
Mimi nikiwa na akili yangu timamu nasema wazi kabisa kuwa huyo Mungu wenu Allah mimi simpendi kabisa na sihitaji chochote toka kwake.

Ni Mungu mwenye chuki mbaya sana.
Kwetu Wakristo na Wayahudi.
Mwambieni kuwa mimi Simtaki.
 
Yaani watu kwa maelfu wameamua kuzuia njia za kuingia bungeni na wanataka vita viishe waishi kwa furaha wewe unasema hawajui walifanyalo na wao wako huko huko.Wewe unayekaa Buza ndio unajua zaidi !
 
Sema nyie jamaa mna akili ndogo sana. Sana...
Aliyewanyima elimu dunia aliwakosea sana hamjui tu
Elimu zote zipo kwetu.Hata elimu ya dunia mtu wa mwanzo kuchukua kutoka kwetu ni Papa Sylvester aliyesoma kwenye madrasa na kufuzu somo la hesabati.
 
Anapigana tu na kikundi cha mgambo hadi anafanyiwa operation ya ngiri
 
Wewe utaishi milele sheikh
 
Rais Marekani hata aje nani hawezi kupambana na uislam. Ataishia kuumwa ngiri au tezi dume. Maradhi ya watu maskini dunani wanaumwa wao
Mwenyezi Mungu ana silaha kali za kila aina kuangamiza maadui zake na wenye kibri kupitiliza.
Baba yake nabii Ibrahim aliuliwa na mbu tu.
 
Netanyahu aliamini nguvu ya silaha alizonazo na za kisasa kutoka US ndio karata ya ushindi.Akadhani ukiua watu wengi na kuwanyima chakula basi waliobaki wataogopa na kujisalimisha.
Akadhani ni rahisi kuwanyanyang'anya mateka kutoka mikononi mwa Hamas na kuwarudisha kwa ndugu zao halafu apigiwe makofi.Ile picha ya Entebe aliiamini sana na kutaraji ingejirudia.
 
Kwa wewe hata ukiwa na phd bado utaonekana kilaza tu maana una low reasoning capacity🙄

Kwani Ariel Sharon alifariki akiwa na umri gani? Haya fananisha umri alioishi mtume wako na huo wa Sharon ...

Mtu anafariki na 85 yrs haya toa miaka nane ya kukaa kwenye mashine unapata ngapi si sabini na kitu hapo?

Kwani ukoo wako wote mnakufa na miaka mia mia? Na kama mnakufa na umri chini ya miaka ya Netanyahu nini sababu hapo? au na nyie mna laana ya kuuwa wayahudi?
 
Wewe utakuwa na ITI ya ubongo huu uharo uliondika ndiyo mnafundishwa huko Kanisani siku ingine usiandike uharo kama huu. Huko kwenu kijijini huwa mnakaa kwenye mashine muda gani?
Mtu anakaa kwenya mashine miaka 8 unaona kawaida umemuingiza Mtume ngoja na mimi nikuulze juzi ilikuwa Pasaka Yesu alitundikwa msalabani na Wayahudi wakamvalisha na nepi leo unakesha JF kuwashangilia Mahayaudi 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…