Netanyahu, mfano wa mfalme Daudi, ametoka kabila la Yusufu

Ukija mbele unajipiga kifua na hoja kwamba uislam siyo monotheistic religion nakuona pimbi TU usiyejua kitu na sihitaji kujadili nawe
Mzee Monotheistic ya Uislam, Ukristo na Judaism ipo kwenye theory tu. Lakini kwenye uhalisia dini hizo ni monolatry or henotheism.

Kama mgekuwa mna mnaabudu Mungu mmoja msingekuwa na mashaka kuhusu Shetani. Msingekuwa na Mashaka kuhusu Ulimwengu wa giza.

Dig Deep Down uelewe.
 
Henotheism is the belief in and worship of one god without denying the existence of other gods.
 
Monolatry is the worship of one god without denying the existence of other gods.
 
Halafu achaga uongo aliyoshiriki operation ya uganda ni kaka yake siyo yeye , elimu huna unaandika habari za kijiweni
 
Afu Hezbullah anasema wao hata wavunjiwe majumba yote na Israel lazima tuyavunje majumba yote sababu silaha wanazo. Unapinga Raia tunapia Raia, unavunja majumba tuna vunja majumbo safari hi Israel kaukalia pabaya.
 
Al-Qisas haqq.
Kisasi ni haki.
Jino kwa Jino
Mtu kwa mtu
Mume kwa mume
Mke kwa Mke

Hapo Mazayuni ndo wataelewa somo.
Wanaua 100 mnaua 100
 
Al-Qisas haqq.
Kisasi ni haki.
Jino kwa Jino
Mtu kwa mtu
Mume kwa mume
Mke kwa Mke

Hapo Mazayuni ndo wataelewa somo.
Wanaua 100 mnaua 100
Tofauti na dini nyingi

Wayahudi hawaamini moto wala zawadi ya peponi kama wengine kwa hiyo wakisikia Waislam wanapewa mabikira wanaona Waislam kama vichaa, kwa hiyo wanaua.

Musa aliwafundisha, Damu kwa Damu, Jicho kwa Jicho wayahudi hawaamini kitubio/kutubu dhambi kwao ni Kuomba msamaha baada ya kutenda dhambi ni kumtukana mungu wakisikia eti unamuachia mungu kisasi chako au unasemehe wanakuona Katili.

Wayahudi kwa Ukatili ni mara 1M ya watu unaowajua
 
Mbenge umekunywa mbege
 
Uislam una shaka na shetani au ulimwengu wa giza!?..
 
Unajua hata hizo aya zinazungumzia nini,au umebeba tu huko na kuleta hapa!?.. you're fvcking inept,poor thinking,ila ujuaji tu
Nimemalizana na wewe mfia dini. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
N
NYie ndio mnaofanya watu weusi tudharaulike duniani
 
Hapo mwisho umechanganya kidogo! Benyamin hakuwahi kushiriki operation ya kuokoa mateka Entebe Uganda! Aliyeshiriki ni kaka yake Yonathan Netanyahu.
Katika operation hiyo aliuawa na snipper! Operation ilikuja kuitwa Operation Yoni kwa heshima yake.
 
Inakuhusu nini mbwiga wewe eti ni wa kabila la Daudi maku kweli we jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…