Netanyahu na HAMAS katika siku 2 Muhimu za Tafakuri

Mkuu tofautisha Israel kama nchi na Jews wa hahudi ni the diaspora, hata Ethiopia kuna wa yahudi ila sio wa Israel, Russia Germany Austria Italy US kuna wayahudi wengi ila sio wa Israel buden pia anavinasaba vya kiyahudi ila sio muisrael.........Israel ni nchi inao tegemea msaada kutoka kwa wafanya biashara wa kiyahudi, haina tofauti kubwa na TZ inacho tuzidi ni uongozi na utawala wa democrasia, ila nengine tunaizidi.
 
 


1. Nalikuuliza kama hizo avatar mwatupia tu kama tai, Bado majibu yako sijayaona.

2. Hizi hapa si ndoto bali hilo kaambiwa na hao anaowategemea kumkingia kifua:

Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!

3. Kwamba wawili hao wako katika siku 2 za Tafakuri siyo ndoto bali ndiyo ukweli wenyewe.

4. Kwamba katamka ana tarehe ya Raffah hilo si ndoto.

5. Kwamba bila shaka Yukoe katika kimsaka Yahya Sinwar Hilo si ndoto.

6. Kwamba tulipo tambo za hapa na pale zitakuwapo, si ndoto.

7. Nk, nk

Kwa hakika sioni wapi unapoona wewe kuwa ni ndoto. Isije kuwa unayeota ni wewe lakini.
 
Mmarekani, Netanyahu na Saudi Arabia ni kitu kimoja. Usiwaamini kabisa kwa 100% bila kuwacha reserve.

1. Haina shaka Marekani ndiye anayempa kibri Israel.

2. Haipo shaka UK ni chawa kindaki ndaki wa Marekani.

3. Hawa kina Saudia na kina Qatar ni kama kina ACT wazalendo Lucas Mwashambwa, nk tu wakwetu; (Mag3, JokaKuu, imhotep, WALOLA VUNZYA, Elli na makamanda wengine wa ukweli) kwenye kupigania kwetu katiba mpya.

4. Pamoja na mapungufu yao, kina ACT na wa namna hiyo, hao hawawezi kuzuia lolote!

5. Kutokea hapo #4, Gaza wamekwisha fanya sehemu yao, kama Israel atafanya lolote Raffah itakuwa muda sahihi wa Iran kupanda ulingoni.

6. Kwa hakika hapo itakuwa halali kama ilivyo kula nguruwe kwa angalau kuchagua aliyenona!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
nakuosma Kamanda
 
Haina shaka Marekani ndiye anayempa kibri Israel.
Ni other way around, lakini Uvamizi wa Mwarabu unamtokea puani Nchi ya kwanza kuwaondoa wavamizi wa Kiarabu ni Spain na Portugal nchi ya pili ni Israel tuombe Mungu Egypt na Sudan zifuatie.
 
Natanyahu nalengo la kutokomeza Hamas aliwezekani ni impossible kama khan yunis, sehemu walio kalia miezi mitatu bado kuba wana Hamas kwahiyo kyingia Rafah nu kama kupoteza wanajeshi bure.

Malengo haya ni ya mwenda kuzimu:



Malengo kama hayo yatashabikiwa na waisrael wa buza buza huko peke yao.
 
Ni other way around lakini Uvamizi wa Mwarabu unamtokea puani Nchi ya kwanza kuwaondoa wavamizi wa Kiarabu ni Spain na Portugal nchi ya pili ni Israel tuombe Mungu Egypt na Sudan zifuatie.

Kwani haya aliyoyaona Madiba yalikwisha lini?



Wa hakika haya ndiyo maoni ya kamanda Kindaki ndaki mpigania katiba mpya, Bado tupo tupo sana.
 
Umelewa Togwa? Tanzania tunaweza kuifananisha na hata jirani zetu kenya na rwanda? Yaani chuki yako na israel mpaka inakutoa ufahamu
 
Kwani haya aliyoyaona Madiba yalikwisha lini?
Madiba alikuwa anapigania Nchi yake iliyochukuliwa na Walowezi wa Kizungu Israeli inapigania Nchi yake iliyochukuliwa na Walowezi wa Kiarabu.

Usichanganye mambo.
 
Madiba alikuwa anapigania Nchi yake iliyochukuliwa na Walowezi wa Kizungu Israeli inapigania Nchi yake iliyochukuliwa na Walowezi wa Kiarabu.

Kwa hiyo hapa:



Ni mawazo yako kuwa Madiba alikuwa amepagawa?
 
Umelewa Togwa? Tanzania tunaweza kuifananisha na hata jirani zetu kenya na rwanda? Yaani chuki yako na israel mpaka inakutoa ufahamu
Acha dharau mkuu au Tanzania huijui unaweza ukalinganisha Tz na Rwanda ambao ni kama mkoa wa Tabora GDP $9bn watu 11m na TZ yenye GDP $62bn na watu 65m.........Tz inacho kosa ni viongozi wenye maono na ufisadi pamoja na wizi, Israel kama Israel bila msaada wa US na EU na UK inatuzidi nini? Tukirekebisha kasoro zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…