Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 2,369
- 1,775
Kwangu nayaona kama ndoto za mchana.Malengo haya ni ya mwenda kuzimu:
View attachment 2958696
Malengo kama hayo yatashabikiwa na waisrael wa buza buza huko peke yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu nayaona kama ndoto za mchana.Malengo haya ni ya mwenda kuzimu:
View attachment 2958696
Malengo kama hayo yatashabikiwa na waisrael wa buza buza huko peke yao.
Huoni kuwa hii ni kinyume chake?Madiba alikuwa anapigania Nchi yake iliyochukuliwa na Walowezi wa Kizungu Israeli inapigania Nchi yake iliyochukuliwa na Walowezi wa Kiarabu.
Usichanganye mambo.
Wakanani "Wapalestina" walikuwa wakiongea Kikanani Waisraeli Wahibru walikuwa wakiongea kihibru hawa Waarabu wa leo hapo ni wavamizi kutoka Hejaz katika Karne ya saba.Huoni kuwa hii ni kinyume chake?
Katika hii vita ni binadamu wangapi wametangulizwa mbinguni, na je muumba hakasirishwi na hili jambo akaleta angalau garika kama zile za kwenye biblia?
Wakanani "Wapalestina" walikuwa wakiongea Kikanani Waisraeli Wahibru walikuwa wakiongea kihibru hawa Waarabu wa leo hapo ni wavamizi kutoka Hejaz katika Karne ya saba.
ETi buden, buden ndio nani wewe chaliiiMkuu tofautisha Israel kama nchi na Jews wa hahudi ni the diaspora, hata Ethiopia kuna wa yahudi ila sio wa Israel, Russia Germany Austria Italy US kuna wayahudi wengi ila sio wa Israel buden pia anavinasaba vya kiyahudi ila sio muisrael.........Israel ni nchi inao tegemea msaada kutoka kwa wafanya biashara wa kiyahudi, haina tofauti kubwa na TZ inacho tuzidi ni uongozi na utawala wa democrasia, ila nengine tunaizidi.
Just shutup hujui unalo sema kwani ireland ni ethinicity au nchi hilo alimzuii kua na vinasaba vya kiyahudi.ETi buden, buden ndio nani wewe chaliii
Kama unamaanisha biden ,bas ujue Biden ana asili ya Ireland.
Kwangu nayaona kama ndoto za mchana.
1. Haina shaka Marekani ndiye anayempa kibri Israel.
2. Haipo shaka UK ni chawa kindaki ndaki wa Marekani.
3. Hawa kina Saudia na kina Qatar ni kama kina ACT wazalendo Lucas Mwashambwa, nk tu wakwetu; (Mag3, JokaKuu, imhotep, WALOLA VUNZYA, Elli na makamanda wengine wa ukweli) kwenye kupigania kwetu katiba mpya.
4. Pamoja na mapungufu yao, kina ACT na wa namna hiyo, hao hawawezi kuzuia lolote!
5. Kutokea hapo #4, Gaza wamekwisha fanya sehemu yao, kama Israel atafanya lolote Raffah itakuwa muda sahihi wa Iran kupanda ulingoni.
6. Kwa hakika hapo itakuwa halali kama ilivyo kula nguruwe kwa angalau kuchagua aliyenona!
Au nasema uongo ndugu zangu?
UN ilyoacha Rwanda mauaji ya kimbari yatokee au unaongelea UN gani.Haya yasiyojulikana Hadi UN huko, umeyaokota wapi?
Kutaka kwangu katiba ni obligation yangu kama Mtanzania lakini hainifanyi nifuate mkumbo wa mawazo ya wengine hata kama sikubaliani nayo.Alone vipi huyo ndugu yangu na huyo ndiye mawazo Bora kabisa anataka katiba mpya.
Africa tunaweza tambo tu....majisifu mengi yasiyo na maana hata toothpick hatuwezi...eti tunajifananisha na watu wanaogundua teknolojia mpya kila siku. Tukubali kama tumekwama na tuanze upya labda hapo tutapona. Tunaitwa shithole si bure. Umeshazunguka duniani kidogo ukaona wenzetu walivyotuacha?Acha dharau mkuu au Tanzania huijui unaweza ukalinganisha Tz na Rwanda ambao ni kama mkoa wa Tabora GDP $9bn watu 11m na TZ yenye GDP $62bn na watu 65m.........Tz inacho kosa ni viongozi wenye maono na ufisadi pamoja na wizi, Israel kama Israel bila msaada wa US na EU na UK inatuzidi nini? Tukirekebisha kasoro zetu
..Nini nafasi ya WAAFRIKA ktk mgogoro wa Waisraeli vs Wapalestina?
..Nini nafasi ya WATANZANIA ktk mgogoro wa Waisraeli vs Wapalestina?
..Nadhani tunapaswa kujielekeza kwenye jambo letu, nalo ni KATIBA MPYA.
..sijawahi kusikia Muisraeli, wala Mpalestina, akitutetea Watanzania ili tupate Katiba Mpya.
..Kama tunataka kujihusisha na migogoro ya nje ya mipaka yetu tuanze na hii ya majirani zetu wa DRC, na Msumbiji.
..Jana Tanzania tumepoteza askari watatu waliokuwa DRC lakini vyombo vyote vya habari vimeelekea kwenye mapokezi ya Makonda.
Mkuu nikiacha haya kukwambia hili sitakuwa nimekutendea haki:
1. Kina Nyerere hawakuwa wenda wazimu kupigana kote kusini mwa Africa Kwa ajili ya uhuru wao.
2. Kina Nyerere, Mandela, Castro, Gaddafi na wa namna hiyo hawakuwa wajinga kuunga mkono ukombozi zaidi ya nchi zao Hadi Palestina huko.
3. Zaidi sana kama unadhani nguli huyu:
View attachment 2958723
Kupigana hadi congo na kufia ugenini ni mjinga ila werevu ni wenye mawazo kama wewe, kwa hakika kumbe tuna tatizo kubwa zaidi
1. Kudhani muisraeli kama alivyokuwa kaburu afrika kusini atutakie jema sisi sina hakika kama tunayo mawazo ya kibimadamu au la.
2. Kumtaka mpalestina atuelewe kuwa tuna tatizo na katiba mpya ambapo (achilia mbali kuwa kujitambua kwenyewe ndiko huku) akiwa anauwawa kutwa kucha, labda kama ni kutegemea damu tokea Kwa marehemu.
3. Katiba mpya haiwezi kupiganiwa kutokea hewani; bila kuwa na Imani:
Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama
4. Kwamba hatujui tunaamini nini ndiyo maana hata mwingine mwenye cause kama yetu tumwelewe vipi? Si kuwa tuko kimaslahi maslahi zaidi?
5. Ni wazi kuwa kwa jinsi tulivyo kimaslahi haipo katiba mpya, ila ya kupewa na CCM.
1. NI muhimu kutambua suala si kushughulika na migogoro. Tatizo, ni migogoro ipi? Vinginevyo hata ya mafumanizi nayo ni migogoro ndugu.
2. Hata mahakamani si Kila wakili serious angekubali, kwa mfano kuchukua kesi yoyote.
3. Hapa kwenye "Kwa Imani ipi?" Hadi itakapoeleweka, mtaendelea sana kupigania maokoto tu kama ilivyo sasa. Zingatia yaliyotokea Mbeya #1, na squabbles baina ya vyama na katika vyama.
4. Wanajeshi kufa Kongo Linganisha na Lijenje, Azory, Mawazo, Ben na wa namna hiyo; unadhani labda tuanzie wapi? Hivi kina Lijenje hata wanakumbukwa? Ningetegemea uwakumbuke hao kwanza ndugu kama ndivyo!
5. Tusijiulize hata huko congo huo mgogoro unahusu nini? Si kuwa ni kumpigania Tshisekedi mwizi wa kura kama wezi wetu walioko hapa hapa?
NB: Hatutapata katiba mpya kama mvua Bali kwa kuipigania. Ikibidi kama mwonewa mwenzetu Palestina anavyofanya - Kwa vitendo!
Elli, Proved, Msanii na makamanda watukuka, kulikoni hawa ndugu kuwaacha wakipotelea gizani, kusikojulikana?
Kutaka kwangu katiba ni obligation yangu kama Mtanzania lakini hainifanyi nifuate mkumbo wa mawazo ya wengine hata kama sikubaliani nayo.
..Nyerere alijali majirani na Waafrika kama Msumbiji, Zimbabwe, etc.
..Msimamo huo kuhusu hali ya Waafrika ulimpa " udhu " wa kupigania na kuwasemea waliokuwa nje na mbali ya Afrika.