Netanyahu na Trump wamechanganyikiwa kuhusiana na Hamas. Imekuwa kaa la moto. Waropokwa ovyo

Tusisaau Israel inajiandaa kwa Vita mpya na GAZA uku MAREKANI akiizatiti zaid kwa nyenzo ISRAEL !!!!

Upande wa pili IRAN imeanza upya kutaja Promis no3 kuwa aina muda mlefu !!!

Ndio mana mala kadhaa nilikuwa nasema na kuwajuza kuwa Promis no3 ilikuwa inasubilia Mzigo wa Silaha kutoka MAREKANI kwenda ISRAEL ,

Sababu zipo kazaa IRAN alengi makazi ya Watu Wala visivousiana na JESH yeye Yupo Na mikakati ya KIJESH

kwakuwa mizigo imeanza kuwasili uko ISRAEL ya utekelezaji iyo mipango Halamu ya kuwaamisha Wapalestina Ukanda wa GAZA
waenda MISRI!!

na pia Ukingo wa magharibi maeneo ya WEST BANK awa waende Jordan

IRAN kwasasa anayazoom maeneo muimu yote zinako Ifadhiwa Silaha siku mkisikia kipigo tegemeeni
kuwaambiwa akuna Aliekufa

Sababu IRAN alengi Watu zaid y Kambi za JESH zilipo Silaha aina tofaut!!! Radar tu!!!

lkn mjue kwasasa ISRAEL & MAREKANI Washavurugwa Vibaya na IRAN Baada IRAN juzi kutangaza sasa PROMIS NO3 ipo njiani !!!!

washajua Silaha zao zinaenda Teketezwa na awana uwezo wakuzuiya Shambulizi!!!!! Zinaenda Butuliwa SILAHA zote muimu!!!!

Ndio mana Wanatafuta namna ya kuongea na IRAN pengine wampe Ahadi tamu tamu kupunguziwa vikwazo au kuondolewa kabisa

ili IRAN anyuti kimya kama ayupo Wakianza Unyama wao!!

Na IRAN anajua kwanini anatafutwa kipindi Inchi ndio mana kakataa kabisa Maongezi

IKN IRAN itafanya tukio kubwa huu mwaka kias MAREKANI na ISRAEL Wataogopa na ndio mwisho wa mipango yao kichaaa

PALESTINA itasalimika kwa Uwezo wa Mungu kwakua nguvu za Kitechnology zinamilikiwa na IRAN

milokole mtake msitake lkn huo ndio Ukweli tulionao kwasasa Duniani mkiacha Propaganda zenu,,, Israel ni poyoyo tu IDF na Wajeda wa CONGO awana Tofaut!!!!

Ivi mliwai kujiuliza ingekuwa IDF ndio HAMAS kweli wangesimama ata mwezi mmoja 1 Vitani!!!!

uku awana Msosi awana Hospital awana Maji awana Umeme awana Internet Awawezi kuwasiliana baina yao Awana Ndege za kijesh awana Vifaru awana Air Defences Systems kweli awa WAISRAEL wangepigana vita kishujaa kama HAMAS

acheni porojo porojo kuwasifia Mashoga na Awana Kitu wametuonesha kweli wao WEUPE kutwa kusifiwa kwenye vijiwe vyenu huu ni UNAFIKI WAWAZI na kuwadanganya waumini wenu sasa muwe na aibu nyie watu wazima!!!!!

vip ktk ali kama hii Usijue Mpalestine ni Shujaaa namba 1 Duniani ile mishoga aibebeki waoga wakufa japo wamepewa kila kitu cha kuwasaidia Vitani lkn Wapi!!!!!!!

tumedanganywa sanaaaa kumbe ata Wajeda wa CONGO wakakamavu kuliko waisrael haaaaaa aibu sana!!!! milokole wachungaji povuu Ruksa!!!!
 
Huu ni UHARO kabisa!!
 
Hata kutofautisha r na l hujui, eti unatoa ushauri!! Dunia ina maajabu sana. Ndiyo madhara ya kuacha elimu dunia na kukimbilia elimu ahera wakati uko duniani. Unawezaje kujadili mambo ya kidunia wakati kichwani huna kitu zaidi ya elimu ahera πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni maajabu ya dunia haya wenye macho wanayaona mbele yao.Kwa kizungu wanasema ni back fire
Kwa tamko la Trump kwamba alitarajia Misri na Jordan kukubali kwa vile wamepokea misaada mingi kutoka Marekani ni uthibitisho kuwa matarajio yamekwenda kombo.
 
Mzig
Mzigo wa mwanzo ndio ulikuwa mzigo na haukufua dafu.Huu wa pili ni mateke ya kufa ya Israel na Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…