Netanyau atoka salama chumba cha upasuaji, ni baada ya masaa 2 ya operesheni ya mafanikio hospital ya Hadassah Medical center

Netanyau atoka salama chumba cha upasuaji, ni baada ya masaa 2 ya operesheni ya mafanikio hospital ya Hadassah Medical center

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Tumsifu Yesu Kristo
Bwana Yesu asifiwe
Shaloom

Komandoo mwamba kiboko ya magaidi yupo salama kabisa wodini

Operesheni imekwenda vizuri na muda huu amepumzika wodini

Yahwe, Adonai, Yehova asante kumlinda mwamba

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

December 29, 2024
Netanyahu recovering after successful surgery
By AP and ToI Staff
29 Dec 2024, 10:23 pm
10
Prime Minister Benjamin Netanyahu is out of surgery after a successful prostate removal operation, Hadassah Medical Center says.

The Ynet news site reports that the surgery lasted about two hours, as planned. According to Walla, the premier has been moved to the cardiology ward for recovery.

There is no statement from Netanyahu’s office.
 
Hahaha huku mtambani na kule kwa Mtoro wanasema eti ana busha, apelekwe Muheza Tanga, mara wengine wanasema apelekwe Amani Hospital, wengine wanashauri apelekwe kisarawe.

Ngoja tumalize nitakuja na majibu wameamuaje.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tumsifu Yesu Kristo
Bwana Yesu asifiwe
Shaloom

Komandoo mwamba kiboko ya magaidi yupo salama kabisa wodini

Operesheni imekwenda vizuri na muda huu amepumzika wodini

Yahwe, Adonai, Yehova asante kumlinda mwamba

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

December 29, 2024
Netanyahu recovering after successful surgery
By AP and ToI Staff
29 Dec 2024, 10:23 pm
10
Prime Minister Benjamin Netanyahu is out of surgery after a successful prostate removal operation, Hadassah Medical Center says.

The Ynet news site reports that the surgery lasted about two hours, as planned. According to Walla, the premier has been moved to the cardiology ward for recovery.

There is no statement from Netanyahu’s office.
Inakusaidia nini hivi huwa mnashindwa kupost hata mbinu za kilimo bora mkasaidia ndugu zenu?Fakeni kabisa eti Adonai waafrika ndio maana mnapakuliwa kwa matrako kwa ajili ya akili za kipumbafu kama hizi
 
Alikuwepo Ariel Sharon alikua katili zaidi ya Netanyahu lkn mnajua alikufaje?

Nenda google ukatizame mwenyewe jinsi alivokua akitoka mafunza kichwani
Kwani kina Arafat walikufaje? Kifo ni kifo jomba wala hakuna kizur wala kibaya
 
Inakusaidia nini hivi huwa mnashindwa kupost hata mbinu za kilimo bora mkasaidia ndugu zenu?Fakeni kabisa eti Adonai waafrika ndio maana mnapakuliwa kwa matrako kwa ajili ya akili za kipumbafu kama hizi
Huna haja ya kushangaa. Hawa ni watumwa wa imani wanaojikomba kwa mabwana zao. Huyo Netanyahu anayemsifia kwa Yesu kristo wala hamtambui zaidi ya kumuona ni mwanaharamu wa kawaida. KKKKKK.
 
Ni jambo la heri. Naona umeguswa sana . sikujua kumbe wewe ni Myahudi unayeishi Tanzania. Diaspora wa Kiyahudi
Achana na hao wanaomwita natanyahu kamanda,wakati ni jahili,anayeua watoto,wazee,mtoota,waandishi wa habari,kamandoo ambae anapigana na ngo hamas,dhulumati mkubwa,ipo siku yake,kwa sasa tunyamaze tu
 
Waarabu walisema wanamtupia majini ili asipone..imekuaje tena katoka salama?
 
Makafiri wanapenda kujipendekeza kwa Wayahudi lakini wenzao hawana mpango nao hadi huyo Yesu wao wanamwita mwanaharamu.
 
Back
Top Bottom