Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ila mie sijaongelea kilimo mwanangu. Kwani unasumbuliwa na nini?Kuhusu kilimo nenda jukwaa la kilimo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mie sijaongelea kilimo mwanangu. Kwani unasumbuliwa na nini?Kuhusu kilimo nenda jukwaa la kilimo
Mwamba korodoni zinamuuma, ilikuaje? Jeshi lake halikujua mapema kuzuia hayo maradhi? Kwa kutumia technologies za kisasa?Wadau hamjamboni nyote?
Tumsifu Yesu Kristo
Bwana Yesu asifiwe
Shaloom
Komandoo mwamba kiboko ya magaidi yupo salama kabisa wodini
Operesheni imekwenda vizuri na muda huu amepumzika wodini
Yahwe, Adonai, Yehova asante kumlinda mwamba
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
December 29, 2024
Netanyahu recovering after successful surgery
By AP and ToI Staff
29 Dec 2024, 10:23 pm
10
Prime Minister Benjamin Netanyahu is out of surgery after a successful prostate removal operation, Hadassah Medical Center says.
The Ynet news site reports that the surgery lasted about two hours, as planned. According to Walla, the premier has been moved to the cardiology ward for recovery.
There is no statement from Netanyahu’s office.
Ina maana hana Cancer?Wadau hamjamboni nyote?

Team kobazi bana kwa hiyo huko kwenu ukobazini hakuna watu wanao pata stroke au kuingia kwenye kama au kufariki kwa hayo maradhi ?Alikuwepo Ariel Sharon alikua katili zaidi ya Netanyahu lkn mnajua alikufaje?
Nenda google ukatizame mwenyewe jinsi alivokua akitoka mafunza kichwani
Kifo ni kifo tu mkuu nitakavyokufa mimi siyo utavyokufa wewe kila mmoja ana style yake huyo nae ilikuwa style yake wala haihusiani na yeye kuwapeleka mchaka mchaka hamas au hizbulaAlikuwepo Ariel Sharon alikua katili zaidi ya Netanyahu lkn mnajua alikufaje?
Nenda google ukatizame mwenyewe jinsi alivokua akitoka mafunza kichwani
Ndivyo mnavyo danganyana msikitini. Hivi Sharon alikuwa na ukatili gani? Utaje hapa.Alikuwepo Ariel Sharon alikua katili zaidi ya Netanyahu lkn mnajua alikufaje?
Nenda google ukatizame mwenyewe jinsi alivokua akitoka mafunza kichwani
Nadhani ni hilo tezi dume, ambalo ukiwahi unatibiwa na kupona kabisa. Si unawaona JK anadunda tu na spika Sita hayupo.Ina maana hana Cancer?
Sawa lakini Netanyahu amerudi ulingoni kuwaadabisha magaidi ya kidini.Makafiri wanapenda kujipendekeza kwa Wayahudi lakini wenzao hawana mpango nao hadi huyo Yesu wao wanamwita mwanaharamu.
Nilimsikia akisema ni, kauli ya Sheikh google.Hiyo ni Kwa mujibu wa shehe nani Mkuu?
Mwamba amerudi ulingoni. Magaidi wajiandae kupigika.Mwamba korodoni zinamuuma, ilikuaje? Jeshi lake halikujua mapema kuzuia hayo maradhi? Kwa kutumia technologies za kisasa?
Nani atajivuna kwenye eneo la kifo?Alikuwepo Ariel Sharon alikua katili zaidi ya Netanyahu lkn mnajua alikufaje?
Nenda google ukatizame mwenyewe jinsi alivokua akitoka mafunza kichwani
uliacha kuswali jana? Huyu mwamba hakutakiwa kutoka salama. Ilitakiwa akufie kule kule. Ametubagaza sana huyu yahudi. ITR na Ritz inabidi tutoe tamko. Maana huyu jamaa amekuwa mbabe sana ule ukanda.tulitegemea afe. Ila si mahakama ya Kimataifa inamtafuta? Ilishamhukumu?Wadau hamjamboni nyote?
Tumsifu Yesu Kristo
Bwana Yesu asifiwe
Shaloom
Komandoo mwamba kiboko ya magaidi yupo salama kabisa wodini
Operesheni imekwenda vizuri na muda huu amepumzika wodini
Yahwe, Adonai, Yehova asante kumlinda mwamba
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
December 29, 2024
Netanyahu recovering after successful surgery
By AP and ToI Staff
29 Dec 2024, 10:23 pm
10
Prime Minister Benjamin Netanyahu is out of surgery after a successful prostate removal operation, Hadassah Medical Center says.
The Ynet news site reports that the surgery lasted about two hours, as planned. According to Walla, the premier has been moved to the cardiology ward for recovery.
There is no statement from Netanyahu’s office.
Na Khayatolla Khomein alikufa kabla hata ya Salman Rushdie kufariki. Yaani haya mambo yanachanganya sana....Alikuwepo Ariel Sharon alikua katili zaidi ya Netanyahu lkn mnajua alikufaje?
Nenda google ukatizame mwenyewe jinsi alivokua akitoka mafunza kichwani
Kifo ni kifo kikubwa wakati wako misheni zako ulifanikisha vipiAlikuwepo Ariel Sharon alikua katili zaidi ya Netanyahu lkn mnajua alikufaje?
Nenda google ukatizame mwenyewe jinsi alivokua akitoka mafunza kichwani
Sasa kama walireta mipasho theatre unafikiri inakuwaje kama sio kutoa connection .........wamechezea elimu ndio matokea hayo .......yaani hapa hata ukiumwa macho kama unapesa katibiwe ulaya .....maana hawakawii kukutia kengeza hivi hivi na ulikuwa na macho mazuriWenzetu wanatumia hospitali zao kutibiwa lakini ingekuwa wa hapakwetu wangetibiwa marekani au ulaya.
Sio kweli haya ni mambo ya jihadists tu. Israel inaamini katika uhuru wa kuabudu na imo kwenye katiba yao hivyo usitake kutudanganya hapa.Huna haja ya kushangaa. Hawa ni watumwa wa imani wanaojikomba kwa mabwana zao. Huyo Netanyahu anayemsifia kwa Yesu kristo wala hamtambui zaidi ya kumuona ni mwanaharamu wa kawaida. KKKKKK.
Atakuwa alienda kupigwa bomba,si unajua huko madume yanakulana sana.Sawa lakini Netanyahu amerudi ulingoni kuwaadabisha magaidi ya kidini.
Gaza kipigo kinaendelea bila huruma