Sharon alitokwa na FUNZA mkuu? How? Kaishi miaka 86 bado huo umri sio haba, kuishi sana duniani bro, tuweni wakweli. Israel wana sheria ya kuto kuua any Myahudi regardless katenda kosa gani, unamkumbuka yule dogo aliyempigaga risasi Izsak Rabin? Yaani alimuua waziri mkuu wa nchi kwa kumpiga risasi, "hakunyongwa". Same as Areil Sharon, huyu alipata stroke, akapoteza fahama and hence akawa hospitalized with ventilator; hawakutakiwa kuzima machine hiyo cause Israeli as I said hawatuhusu Myahudi kufa nje ya natural death.