Netanyau atoka salama chumba cha upasuaji, ni baada ya masaa 2 ya operesheni ya mafanikio hospital ya Hadassah Medical center

Kuna watu wanajifariji kwamba Netanyahu akifa watapata ahueni. Hawajui kwamba wayahudi ni watu wa vita. Waliigia hapo walipo (mababu akina Joshua nk) kwa vita. Wataendelea kuwapo hapo kwa vita. Hata kabla ya Netanyahu kuwatwanga Palestine, miaka hiyo Daudi alimtwanga Goliath mpalestina. Samsoni aliwatwanga pia, na bado watatwangwa sana kama hawataki amani na Myahudi.
 
Kha hiyo hiyo operesheni wanakata linda ndio watoe hiyo cancer ama inakiwaje wajuzi wa mambo?
So jamaa saa hii ana nyuzi kwa mkunduz 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sawa na wewe ulivyo mwarabu mweusi wa Mlingotini, Bagamoyo.
Mimi ni Muafrika kamili ninayeuthamini uafrika wangu Mungu alioniumbia. Mimi sina ujinga kama wenu unayeguswa na Uyahudi na Uarabu wakati wao wanakuona huna thamani hata kidogo.
Hivi unajua jinsi Myahudi anavyomdharau mtu mweusi na ndio maana hakuwahi kumuunga mkono wala kumtetea Muafrika (Fuatilia Israel ilivyokuwa bega kwa bega na Kaburu kule South Africa). Hata Muarabu anamuona Muafrika ni Mtumwa tu na ndio maana aliwauza kama punda tu.

Sasa wewe na wenzako ukisikia jambo la Myahudi naona kisimi kinasimama hadi kinatema lakini ndugu zako wa Kongo wanakufa wala haikugusi.
UKUTE HAPO ULIPO UNAJIONA NI UKOO WA MELEKI WA KAPERINAUMU
 
Jevunsjua ulichojibu mwanangu?
 
Chuma kimerudi kwa ground. Makubazi full kupagawa.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Alikuwepo Ariel Sharon alikua katili zaidi ya Netanyahu lkn mnajua alikufaje?

Nenda google ukatizame mwenyewe jinsi alivokua akitoka mafunza kichwankila

Alikuwepo Ariel Sharon alikua katili zaidi ya Netanyahu lkn mnajua alikufaje?

Nenda google ukatizame mwenyewe jinsi alivokua akitoka mafunza kichwani
Binadamu hufuundishwa ukatili na binadamu wenzao
 
Makafiri wanapenda kujipendekeza kwa Wayahudi lakini wenzao hawana mpango nao hadi huyo Yesu wao wanamwita mwanaharamu.
Hiyo kawaida, hata waarabu wapo waliompinga mtume Muhammad. Wapo waarabu waliomtukana/wanaomtukana mtume Muhammad
 
Lakini kitu usichokijua ni kwamba haohao Afrika Kusini baada ya ubaguzi wa rangi kwisha waliweka utaratibu kwamba mtanzania ili aende Afrika Kusini ni lazima apate viza lakini mkenya ambaye hakuwapigania kabisa wakati ule hawakuhitaji viza kwenda Afrika Kusini, sasa ushangae..!!
 
Alikuwepo Ariel Sharon alikua katili zaidi ya Netanyahu lkn mnajua alikufaje?

Nenda google ukatizame mwenyewe jinsi alivokua akitoka mafunza kichwani
Sharon alitokwa na FUNZA mkuu? How? Kaishi miaka 86 bado huo umri sio haba, kuishi sana duniani bro, tuweni wakweli. Israel wana sheria ya kuto kuua any Myahudi regardless katenda kosa gani, unamkumbuka yule dogo aliyempigaga risasi Izsak Rabin? Yaani alimuua waziri mkuu wa nchi kwa kumpiga risasi, "hakunyongwa". Same as Areil Sharon, huyu alipata stroke, akapoteza fahama and hence akawa hospitalized with ventilator; hawakutakiwa kuzima machine hiyo cause Israeli as I said hawatuhusu Myahudi kufa nje ya natural death.
 
Netanyaho ana mabusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…