Sikujua hii kitu. Shukran Mkuu.Sharon alitokwa na FUNZA mkuu? How? Kaishi miaka 86 bado huo umri sio haba, kuishi sana duniani bro, tuweni wakweli. Israel wana sheria ya kuto kuua any Myahudi regardless katenda kosa gani, unamkumbuka yule dogo aliyempigaga risasi Izsak Rabin? Yaani alimuua waziri mkuu wa nchi kwa kumpiga risasi, "hakunyongwa". Same as Areil Sharon, huyu alipata stroke, akapoteza fahama and hence akawa hospitalized with ventilator; hawakutakiwa kuzima machine hiyo cause Israeli as I said hawatuhusu Myahudi kufa nje ya natural death.
Naam Mwinyi Netanyahu.Netanyaho ana mabusha
Video zipo katizameSharon alitokwa na FUNZA mkuu? How? Kaishi miaka 86 bado huo umri sio haba, kuishi sana duniani bro, tuweni wakweli. Israel wana sheria ya kuto kuua any Myahudi regardless katenda kosa gani, unamkumbuka yule dogo aliyempigaga risasi Izsak Rabin? Yaani alimuua waziri mkuu wa nchi kwa kumpiga risasi, "hakunyongwa". Same as Areil Sharon, huyu alipata stroke, akapoteza fahama and hence akawa hospitalized with ventilator; hawakutakiwa kuzima machine hiyo cause Israeli as I said hawatuhusu Myahudi kufa nje ya natural death.
Hata wewe ni mtumwa unajikomba kwa bwana zako waarabu povu lote linalokutoka ni uthibitisho wa huo utumwa wakoHuna haja ya kushangaa. Hawa ni watumwa wa imani wanaojikomba kwa mabwana zao. Huyo Netanyahu anayemsifia kwa Yesu kristo wala hamtambui zaidi ya kumuona ni mwanaharamu wa kawaida. KKKKKK.
Acha upuuzi. Mie sijatetea mwaarabu hata mmoja zaidi ya kuongelea unyama wa huyo nyau wako.Hata wewe ni mtumwa unajikomba kwa bwana zako waarabu povu lote linalokutoka ni uthibitisho wa huo utumwa wako
Ninachosema ni kwamba sijui kama unajielewa mbali na kujua ulichoandika mwanangu jingaa kubwaSielewi ulicho andika labda uandike kwa kilugha halafu mtu anitafsirie.
Unatoboa spika wenzakoMimi natoa huduma ya kuwafumua marinda Wayahudi feki wa Bongo.
Tezi dume haipo hukoKha hiyo hiyo operesheni wanakata linda ndio watoe hiyo cancer ama inakiwaje wajuzi wa mambo?
So jamaa saa hii ana nyuzi kwa mkunduz 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa kwa nini wanakutia kidole ili kupima kama haiko hukoTezi dume haipo huko
Wanaingiza kidole huko ili ku check uvimbe kwenye prostate gland. Hata hivyo hiyo siyo njia pekee ya kupima tezi dume, kuna kipimo cha damu PSA test. Watu wasiogope kupimaSasa kwa nini wanakutia kidole ili kupima kama haiko huko