Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania

Chura kiziwi na hawa vijana wasio na ajira (UVCCM)
wanajua hii nchi ni ya kwao hawajui nchi hii ni ya watanzania.
Wanashauriana ujinga wanadhani kuifunga Twitter zamani sasa X ndio watapata amani
 
Siku kadhaa zilizopita, kama wiki moja au nbiki, Mange Kimambi alisema ametoka Twitter imeachiwa, sasa anarudi, tutaona inafungiwa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…