Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania

Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania

poleni sana raia wa ukimani.
ukizaliwa ukimani ni laana
cc Infropreneur
 
Yah I think. Sina Twitter ila kuna muda nilibonyeza link ikagoma kufungua. Aikuelewa chochote maana account nishafuta. Kumbe dah!
Mboni Mimi bado naletewa notifications Ila ninachohisi hii mitandao ya Simu inafanyiwa surveillance mamamae sielewi Ila kuna kitu nahisi tena Voda na Halotel naona data za watumiaji zinafuatiliwa kwa ukaribu zaidi Halotel mtandao mpaka unabumabuma Voda Halotel wanazipiga pin baadhi ya Namba zisipokee wala kutuma meseji na mazungumzo yanafuatiliwa
 
Nawakumbusha tu, kama utatumia VPN bila kujisajili TCRA basi utakuwa umefanya kosa kisheria
Yote nikudhibiti upinzani halafu hupita vibarazani ccm inakubalika ila ukubalikaji wao hauonekani kwa vitendo halisi. Ujinga tu walionao viongozi na wafuasi wao.
 
Back
Top Bottom