Netflix yaridhia kuinunua Warner Bros kwa $ 72bn, inalipa deni lote la Taifa na bajeti ya mwaka mmoja juu

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,716
Reaction score
9,051
Netflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya kuwapiku washindani wake Comcast na Paramount Skydance baada ya vita kali.

Tume ya ushindani ikipitisha mauzo hayo inatarajiwa kutengeneza kampuni kubwa sana kwenye sekta ya filamu huku baadhi wakipinga wakihofu kupanda kwa bei na walaji kukosa ladha tofauti.

Anyways nimegundua mataifa yetu ya dunia ya tatu bado maskini kuliko nilivyofikiri kama ukwasi wa kampuni moja ya Kimarekani inaweza kufix deni linalotusumbua tangu tumezaliwa na kila leo linaandikwa kwenye vichwa vya habari na kuibuka kwenye mijadala ya Bunge.. ni kikao kimoja tu cha bodi kingeliondoa na bajeti ya mwaka mzima kama bonus bila wahisani kuchangia.
 
Market Cap ya Apple au NVDIA ni sawa sawa na GDP ya Afrika nzima.

Lakini tunavyojiona..
 
Kunawatu wana hela siyo hawa mbogamboga na mama yao kazi kuimba taarabu na bado wanambania mzungu pua anayewapa neema ya vitambi vyao maana hizo hela huwa wanagawana juu kwa juu.
 
Market Cap ya Apple au NVDIA ni sawa sawa na GDP ya Afrika nzima.

Lakini tunavyojiona..
Thamani ya market Cap na GPD ni nadharia tuu za fiat currency ambazo siyo halisi. Kamwe thamani ya Apple haiwezi hata kuwa sawa na thamani ya kisiwa cha ukerewe, achilia Afrika.
 
Netflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya kuwapiku washindani wake Comcast na Paramount Skydance baada ya vita kali.

Tume ya ushindani ikipitisha mauzo hayo inatarajiwa kutengeneza kampuni kubwa sana kwenye sekta ya filamu huku baadhi wakipinga wakihofu kupanda kwa bei na walaji kukosa ladha tofauti.

Anyways nimegundua mataifa yetu ya dunia ya tatu bado maskini kuliko nilivyofikiri kama ukwasi wa kampuni moja ya Kimarekani inaweza kufix deni linalotusumbua tangu tumezaliwa na kila leo linaandikwa kwenye vichwa vya habari na kuibuka kwenye mijadala ya Bunge.. ni kikao kimoja tu cha bodi kingeliondoa na bajeti ya mwaka mzima kama bonus bila wahisani kuchangia.
Kwanini vijana mnajikita katika colloquial speech! Kingereza sahahi ni anyway
 
Hii inanikumbusha hadithi ya Nyerere ya Zuzu na Almasi anavyodanganywa na mtu mwenye vichupa wabadilishane na yeye akaondoka kwa furaha....

Tatizo ni perception tunayotumia ya Ukwasi hususan katika dunia ya sasa ya Debt Economy na FIAT Currency...

Kwanza kabisa tujiulize hayo madeni tuliyokopa walikopa kina nani na kwanini walikopa na yametusaidia nini mpaka sasa hivi ? Na kwanini tuendelee kukopa wakati mikopo hiyo inaishia kwenye matumizi yasiyo ya lazima ?

Tukiwaangalia Neflix ni kampuni ya streaming yenye wateja worldwide na sababu Movies nyingi zilikuwa sio zao kuna risk kubwa ya kuamka ukakuta umekufa kwa wenye movies kuanzisha streaming platform yao - Kwahio they made a wise decision kuanza kutengeneza za kwao...,

Tukija nchi yoyote huwezi kupima utajiri wao kwa pesa kiasi gani sababu potentially ni vigumu sana kwa kampuni yoyote - no matter how big kulinganisha na kitu chenye manpower, land n.k.; kitu hicho kina-miss ingredient moja tu nayo ni Good Governance...; wakati Kampuni yoyote hasa katika uchumi huu wa Debt unaweza kuamka kesho na kukuta shares zao zimekwenda belly-up na kumpuni kuwa bankrupt...

Kwa wasanii waliopo Bongo, Richness in Culture na watu wakipata buying power unaweza ukatengeneza entertainment industry moja matata sana ya kuweza kuchangia pato la taifa...., Ila ndio hivyo tena

Hahah wale jamaaa na uchoko ni dam dam... Wanajaribu Ku accommodate wateja wao.

Inshort KULINGANA na maudhui Yao netflix is not for Africa, Sisi ndio tunajipendekeza

Sisi tubaki na Azam max
Aiseee kweli mkuu bora tukomae tu na Azam Max na Showmax, Netflix UGASHO ni mwingi sana.
 
Back
Top Bottom