Market Cap ya Apple au NVDIA ni sawa sawa na GDP ya Afrika nzima.Netflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya kuwapiku washindani wake Comcast na Paramount Skydance baada ya vita kali.
Tume ya ushindani ikipitisha mauzo hayo inatarajiwa kutengeneza kampuni kubwa sana kwenye sekta ya filamu huku baadhi wakipinga wakihofu kupanda kwa bei na walaji kukosa ladha tofauti.
Anyways nimegundua mataifa yetu ya dunia ya tatu bado maskini kuliko nilivyofikiri kama ukwasi wa kampuni moja ya Kimarekani inaweza kufix deni linalotusumbua tangu tumezaliwa na kila leo linaandikwa kwenye vichwa vya habari na kuibuka kwenye mijadala ya Bunge.. ni kikao kimoja tu cha bodi kingeliondoa na bajeti ya mwaka mzima kama bonus bila wahisani kuchangia.
Damn girl...Aliyekwambia hapa kwetu hakuna hela ni nani? Nchi haina hela ila watu wana hela.
hela zipo haswa sema ni kwa wachache walio meza kuuAliyekwambia hapa kwetu hakuna hela ni nani? Nchi haina hela ila watu wana hela.
WHO ARE YOU..!Market Cap ya Apple au NVDIA ni sawa sawa na GDP ya Afrika nzima.
Lakini tunavyojiona..
Hahah wale jamaaa na uchoko ni dam dam... Wanajaribu Ku accommodate wateja wao.NetFlix wapunguze mambo ya Ushoga kwenye contents zao.
Tanzania yetu wapo wanao kula hadi kuvimbiwa na wapo wanaoshindaa njaa hadi kutia huruma.hela zipo haswa sema ni kwa wachache walio meza kuu
Nido kinachowaingiza pesa, kwanini waache.NetFlix wapunguze mambo ya Ushoga kwenye contents zao.
Thamani ya market Cap na GPD ni nadharia tuu za fiat currency ambazo siyo halisi. Kamwe thamani ya Apple haiwezi hata kuwa sawa na thamani ya kisiwa cha ukerewe, achilia Afrika.Market Cap ya Apple au NVDIA ni sawa sawa na GDP ya Afrika nzima.
Lakini tunavyojiona..
Doesnt work like that, huko nje hela ya tz haina ushawishiAliyekwambia hapa kwetu hakuna hela ni nani? Nchi haina hela ila watu wana hela.
Na aliyekwambia hao wenye hela ni hela za madafu ni nani Mkuu?Doesnt work like that, huko nje hela ya tz haina ushawishi
Kwanini vijana mnajikita katika colloquial speech! Kingereza sahahi ni anywayNetflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya kuwapiku washindani wake Comcast na Paramount Skydance baada ya vita kali.
Tume ya ushindani ikipitisha mauzo hayo inatarajiwa kutengeneza kampuni kubwa sana kwenye sekta ya filamu huku baadhi wakipinga wakihofu kupanda kwa bei na walaji kukosa ladha tofauti.
Anyways nimegundua mataifa yetu ya dunia ya tatu bado maskini kuliko nilivyofikiri kama ukwasi wa kampuni moja ya Kimarekani inaweza kufix deni linalotusumbua tangu tumezaliwa na kila leo linaandikwa kwenye vichwa vya habari na kuibuka kwenye mijadala ya Bunge.. ni kikao kimoja tu cha bodi kingeliondoa na bajeti ya mwaka mzima kama bonus bila wahisani kuchangia.
Inasikitisha sana bora nikomae na Showmax tu.Nido kinachowaingiza pesa, kwanini waache.
Aiseee kweli mkuu bora tukomae tu na Azam Max na Showmax, Netflix UGASHO ni mwingi sana.Hahah wale jamaaa na uchoko ni dam dam... Wanajaribu Ku accommodate wateja wao.
Inshort KULINGANA na maudhui Yao netflix is not for Africa, Sisi ndio tunajipendekeza
Sisi tubaki na Azam max