Black manta
Member
- Aug 10, 2025
- 96
- 135
Kwa iyo james gunn na universe yake kwishinei au snyderverse itarudishwa,maan kwa gunn naisubiri green lantern seriesNetflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya kuwapiku washindani wake Comcast na Paramount Skydance baada ya vita kali.
Tume ya ushindani ikipitisha mauzo hayo inatarajiwa kutengeneza kampuni kubwa sana kwenye sekta ya filamu huku baadhi wakipinga wakihofu kupanda kwa bei na walaji kukosa ladha tofauti.
Anyways nimegundua mataifa yetu ya dunia ya tatu bado maskini kuliko nilivyofikiri kama ukwasi wa kampuni moja ya Kimarekani inaweza kufix deni linalotusumbua tangu tumezaliwa na kila leo linaandikwa kwenye vichwa vya habari na kuibuka kwenye mijadala ya Bunge.. ni kikao kimoja tu cha bodi kingeliondoa na bajeti ya mwaka mzima kama bonus bila wahisani kuchangia.
Hawa jamaa naona movie zao zitaenda sana kujaa mambo ya upinde Netflix wahuni sana naona hadi kwenye stranger things tumefikiwa msimu wa kwanza hadi wa nne kulikuwa hamna upinde now msimu wa Tano wameuleta sasa kama kawaida Yao wamenikera sana yaani sanadosho12 na Vincenzo Jr mna ujumbe wenyu huku ndugu zangu katika movie..!!
Bila kumsahau Mr Q na Hziyech22 mchambuzi wa movie 😁dosho12 na Vincenzo Jr mna ujumbe wenyu huku ndugu zangu katika movie..!!
Mi sijaicheki badoHawa jamaa naona movie zao zitaenda sana kujaa mambo ya upinde Netflix wahuni sana naona hadi kwenye stranger things tumefikiwa msimu wa kwanza hadi wa nne kulikuwa hamna upinde now msimu wa Tano wameuleta sasa kama kawaida Yao wamenikera sana yaani sana
Wameuleta aisee EP ya kwanza tuMi sijaicheki bado
Huyo series nilitaka nianze kuiangalia kumbe ina uchoko....Hawa jamaa naona movie zao zitaenda sana kujaa mambo ya upinde Netflix wahuni sana naona hadi kwenye stranger things tumefikiwa msimu wa kwanza hadi wa nne kulikuwa hamna upinde now msimu wa Tano wameuleta sasa kama kawaida Yao wamenikera sana yaani sana
Anza kutazama upo msimu wa Tano tu na sio wa 1,2,3,4Huyo series nilitaka nianze kuiangalia kumbe ina uchoko....
Hahahah
Wanaingiza ujinga kwenye movie mdogo mdogoNetFlix wapunguze mambo ya Ushoga kwenye contents zao.