Poleni Sana na hasa
left eye Polee sana kaka/Dada..
Ili kuweza Kuwa sawa Anatakiwa kuacha Kujilaumu au Kutojivika Lawama kwa kile kitu ambacho hakukijua kabla sio kosa lake..
Unaweza ukawa umeiona Dalili ya Pneumonia lakini ukashindwa kuijua kwa kuwa hukuwa Mtaalamu wa Afya..
Kingine magonjwa yote huweza kuchukua sura mbili za Ugonjwa kuna namaanisha Huweza h
kutokea Ghafla (Suddenly onset) bila kuonyesha dalili Za hatari na huitwa Acute Diseases na pia Kuna magonjwa Huonyesha Dalili nyingi na huanza taratibu Huitwa Chronic Disease
Hata Pneumonia Huweza kuchukua Sura hizo Kwahyo Kuna Pnemonia Ambayo ni suddenly onset "
Acute severe Pneumonia" na hii ndo Pneumonia Hatari kuliko zote kwa sababu inatakiwa Kuwahi matibabu kuliko kawaida..
Huenda mwanao alipaliwa Na maziwa Mara kadhaa na kupata Aspirational Pneumonia ambayo ilisababisha Iwe acute onset..
Kuna Research kadhaa zimefanyika Kwa baadhi ya watoto (Infants)Hufariki kwa Sababu ya Milk Aspiration ambayo hupelekea Aspiration Pneumonia na mara nyingi hawa watoto hupata Acute Lung Failure..
Kuna mambo mengi ya Kuelezea Lakini jibu la Moja kwa moja ni kwamba Inawwzekana kabisa kutokea hivyo..
Kama utakuwa una swali unaweza kuuliza