jafari mwijae
Senior Member
- Jan 9, 2014
- 181
- 39
Sababu ya haraka ya mtoto kilichomkuta yawezekana kiasi fulani Cha maziwa yaliingia katika njia ya hewa kitaalamu huitwa aspiration pneumonia .Na hatumae kupelekea kifo kutokana na ukosefu wa hewa ya oxyengene kwenye damu(hypoxemia) na kwenye chembe hai za mwili(hypoxia).Mara nyingi Moja wapo ya sababu ya ghafla ya moyo kusimama(immediately cause of cardiac arrest) ni pamoja na hypoxia ,na baadae kifo kama hatua za kurudisha moyo uendelee kufanya kazi zitchelewa (cardiopulmonary rescutation-cpr).Njia pekee ya mgonjwa kama huyo kabla ya mtibabu ya dawa unaweza hakikisha njia ya hewa inauwezo wa kupitisha hewa (is airway patent) ,hivyo kwa hospitarini unaweza mwekea mpira kupitia mdomo Hadi kwenda kwenye Koo la hewa (trachea) kitaalamu huitwa Endotracheal intubation ,hii itasaidia kusafisha njia ya hewa yaani trachea washout Kwa kuondoa kiasi cha maziwa na kama vyakula vingine kam uji kwenye njia ya hewa .Kwa kufanya hivo utahakikisha njia ya hewa Iko sawa .mna kuendelea kumpa hewa ya oxygen kupitia endotracheal tube.