Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

Mama kunyonyesha akiwa amelala kitandani. Mtoto hushindwa ku-control mpangilio wa mwenendo wa maziwa na hatimae kwenda kwenye njia ya hewa.
Nilihisi kitu kama hiki lakini nikawaza kuwa mtoto kama angekuwa amepaliwa angeonyesha dalili za kukooa
kitu ambacho kingewastua wazazi na kuhisi kapaliwa.
 
Mara nyingi nimeshuhudia wagonjwa wakifa kwa sababu ya uzembe wa watoa huduma halafu mwishoni wanaandika death ripoti nzuri tu ya uongo maisha yanasonga.
ni kwel kifo kilifika lkin pale hospital ya magereza aliteseka sana imagine lisaa lizima watu sita wanahangaika kutafta mshipa hawauon wameishia kumnyoa nywele na wakaogopa kumchoma sindano ,oxygen hawana inauma sana
 
nashkuru kwa maelezo mazur ,sikuio aliamka vizur tu ndipo mamake alimkalisha kumnyomyesha mara ya kwanza akanyonya vizur ,mara ya pili akajitahid kuvuta maziwa akashindwa akayarusha dizain ya kutapika ,toka hapo hal ikachange akawa anapumua kwa shida sana ,na mara chache akawa anatoa milio kama mtu anaguna aah kama kuna kitu kifuan kinambana ,umri wake ni miez 8
 
kuhus kuona dalil yyte ya pnemonia au kuumwa chochote hapana kwakwel alikuwa normal tu ,zaid vimafua kidg ,ktk uhai wake hakuwah kuumwa hata homa au joto kupanda ht siku moja zaid ya wakat ana miez 5 alikohoa siku mbili na mafua tukampa dawa na akakaa sawa ,ila siku alipozidiwa tupo pale hospital alizidiwa midomo ikawa inacheza ila homa hakuwa nayo kabisa ,nimeuliza sababu doc pugu hawakumfanyia kipimo chochote labda doc alitumia uzoef tu
 
Alikuw nazo mda wote na usiku hakuwa na barid bal kutokana na joto kali lililokuwepo mwez uliopita alikuwa anatoka jasho sana usiku
Unatakiwa kumbadirisha nguo mara kwa mara kama anasweat sana kwani nguo zinaliana na kumpata unyevu ambao unakuja nsabushia hili tatizo. Poleni sana.
 
nashkuru kwa maelezo mazur ,alikuwa na miez 8 na hal ilimpata alipokuwa akinyonya ndipo ghafla alipotapika maziwa hal ikachange
 
Aisee ndugu pole sana kwa yaliowasibu najua machungu unayopata ila kama Dr anasema ni severe pneumonia basi ni yale matapishi ndio yanaweza kuwa sababu kuingia kwenye mapafu

Maana unasema alikuwa mzima, pole sana
 
nashkuru kwa maelezo mazur ,alikuwa na miez 8 na hal ilimpata alipokuwa akinyonya ndipo ghafla alipotapika maziwa hal ikachange
Inawezekana wakati anatapika kuna yaliyopoteza uelekeo na kuelekea kwenye njia ya hewa. Kulingana na wingi mchakato wake/irritation ikasababisha mfumo wa hewa kushindwa kufanya kazi vyema na hewa kuendelea kupungua kwenye mfumo wa damu.

Kitu kingine muhimu cha kujifunza pia ni kumuweka mtoto kwenye mkao ambao matapishi yanaweza kutoka vyema kama ubavu ubavu kwa kuminamisha kisogo na si kuzuia yasitoke kwa njia yoyote.
 
Inawezekana wakati anatapika kuna yaliyopoteza uelekeo na kuelekea kwenye njia ya hewa. Kulingana na wingi mchakato wake/irritation ikasababisha mfumo wa hewa kushindwa kufanya kazi vyema na hewa kuendelea kupungua kwenye mfumo wa damu.
nashkuru kwa maelezo
 
Pole sana mkuu. Tanzania tatizo letu ni kuwa hatuna utaratibu wa kuchunguza vyanzo vya vifo kitaalam . Hili ni jambo baya sana kwa sababu tunashindwa kujua namna ya kujirekebisha. ''Lumonia'' kama wanavyoita mtaani nayo inaua watoto wengi sana. Kuna kipindi jamaa yangu alikuwa ana mtoto anakohoa kikohozi cha kawaida akaja ndugu yetu ambaye ni daktari akamsikia anakohoa akamuuliza amechukuwa hatua gani. Jamaa akasema ameshamnunua dawa ya kikohozi phamarcy na anampa. Yule daktari akamwambia ni makosa makubwa kucheza na kikohozi kwa mtoto mdogo kwa kufanya matibabu nyumbani. Akamwambie ampeleke hospital haraka sana apate matibabu stahili kwani kikohozi kugeuka ''lumonia'' ni haraka sana.
 
Pole sana Mungu akutie nguvu. Nmesikitika sana.
 
Pole sana Mungu akutie nguvu. Nmesikitika sana.
 
ni kwel kifo kilifika lkin pale hospital ya magereza aliteseka sana imagine lisaa lizima watu sita wanahangaika kutafta mshipa hawauon wameishia kumnyoa nywele na wakaogopa kumchoma sindano ,oxygen hawana inauma sana
pole sana
 
Aliaspirate..
So alipata Aspiration Pneumonia..
Pole sana Mkuu Hiyo Ni Aspiration Pneumo..
 
Sababu ya haraka mtoto alipokuwa ananyonya maziwa yalienda njia ya hewa ,kitaalaumu inaitwa aspiration
Pneumonia.Kwa kawaida unaweza msaidia mgonjwa kama huyo kwa kuanza kuhakikisha njia ya hewa haina kizuizi(airway patency) kwa kuweka mpira kupitoa mdomo kwenye kwenye Koo la hewa trachea(Endotracheal tube intubation) na kusafisha (trachea wash out) kwa kuondoa vile vilivyoungia katika njia ya hewa na kupewa tiba ya hewa ya oxygen .Baada ya hapo unaweza endeleza matibabu mengine kama dawa nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…