Waendesha malori hatuna mambo izooo aisee!!! Ungebakia kwenye gari tu mame mdodo.
Huwezi kufa, ajari zishatukomaza akili!..
Dunia tambara bovu hili bora ulishuka!!! Hata iz IT bado sio safe!!! Usafiri salama ni public transport. Uko kwenye swala la pipa tupo pamoja, huwa najiuliza likitokea la kutokea familia yangu ndo haitazika hata kiganja changuTate mdodo ikatokea tumetekwa mimi si ningegeuka mboga ya masela sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio mwoga basi atakuwa anawivu wakutosha,aliangalia ratio ya boi to gelo ndani ya hilo lori akaona ratio sio rafiki kwa mustakabali wake,mana ni 3:1,sasa akapiga mahesabu huyo abiria wakiume kama ni mtu wa kujiongeza itakuwa hatari kwa penzi lake,ndo maana akawa anakutisha ili ushuke.ingekuwa ni mimi huyo abiria mwenzio tungeshuka wote aiseeHawezi kuniacha tukivamiwa bwana. Ni mjeda ila vitu ambavyo anajua hawezi kunisaidia kwa ukaribu huwa ananiambia bora niviepuke
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kufa, ajari zishatukomaza akili!..
Dunia tambara bovu hili bora ulishuka!!! Hata iz IT bado sio safe!!! Usafiri salama ni public transport. Uko kwenye swala la pipa tupo pamoja, huwa najiuliza likitokea la kutokea familia yangu ndo haitazika hata kiganja changu
Kama sio mwoga basi atakuwa anawivu wakutosha,aliangalia ratio ya boi to gelo ndani ya hilo lori akaona ratio sio rafiki kwa mustakabali wake,mana ni 3:1,sasa akapiga mahesabu huyo abiria wakiume kama ni mtu wa kujiongeza itakuwa hatari kwa penzi lake,ndo maana akawa anakutisha ili ushuke.ingekuwa ni mimi huyo abiria mwenzio tungeshuka wote aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajali yangu kubwa ni nyuzi nane mkononi.
Dunia duaraAwali ya yote mimi ni muoga wa vyombo vya usafiri (ndege, bus na pikipiki).
Nilivyokua nikisoma zile habari za magari ya magazeti au malorry nilikua nashangaa mtu anapata emergency gani ya kupanda hayo mausafiri.
Leo sasa yamenigeukia. Nimefika Singida saa mbili kasoro bus tulilopanda wakaleta ubabaifu hivyo ikabidi watutafutie usafiri mwingine na hapo mwanamke niko peke yangu na wanaume watatu.
Mara yakaja haya malorry marefu ya mizigo halafu kuna nafasi mbili tu moja nikapanda mimi nyingine akapanda mkaka anaenda Dar.
Nilivyoingia kwenye lile gari moyoni nikawa najisemea never say never. Kweli mimi leo ni wa kupanda haya madude? Hapo umamaduu wote nimeweka pembeni nawaza nifike Dom tu nikalale.
Kwa uoga nikaanza kusweat viganjani. Nikaanza kukumbuka yanavyoangukaga na kuua. Nikaanza kumuwaza mwanangu. Nikawa nasali tu salamu Maria. Nikampigia simu bby nimueleze usafiri niliopanda. Akanitisha vya kutosha oooh wanaweza kukubaka Mara wakuchinje usiku huu bora ushuke utafute sehemu ulale uendelee na safari kesho. Kama Mungu hatukua mbali na mji nikawaomba wasimamishe gari nikashuka.
Hapa nipo kwenye guest house vumbi kama lote. Najua asubuhi nitaamka na mafua ya kutosha ila bora nitapanda bus mchana nikiwa na amani.
Never say never sababu mimi sikutegemea ipo siku nitapanda lorry japo nimeshindwa kuvumilia kumaliza safari
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajeda wanaaminika Sana hekooHawezi kuniacha tukivamiwa bwana. Ni mjeda ila vitu ambavyo anajua hawezi kunisaidia kwa ukaribu huwa ananiambia bora niviepuke
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikujuze jambo dogo tu dada. Kwa ardhin, hakuna usafiri salama na wa kuaminika kama wa Malori.
Nikujuze jambo dogo tu dada. Kwa ardhin, hakuna usafiri salama na wa kuaminika kama wa Malori.
Boat kweli iko salamahasahasa kama brake zake ziko vizuri. Kwa upande wangu usafiri salama ni boat tu (hapa ni zile za muundo wa catamaran). Kwingine kote roho inakua mkononi muda wote wa safari.
View attachment 1014902
Boat ikiharibika tutaelea tu juu ya maji, au tutapoteza uelekeo lakini sio kupinduka au kupata ajali ikapelekea mlipuko.
Unaona sasa matatizo yako ya kusafiri kimyakimya, ningekuelekeza ukapokelewa nyumbani ukapumzika kesho yake ukaondoka.
Kudadadeki kumbe unaogopa ndege? Ungekua mwanajeshi siku ubahatike kupanda ndege ya Bangaladesh ungezima kweli... Maana yale spana mkononi.Ungo ungekua unatumika nimepanda. Magari naogopaga yakiwa speed tu ila kama ni road trip huwa napiga vyombo kidogo nasali uoga unaisha. Ndege ndo uwiiiii. Siku ya kusafiri masaa matano itabidi niingie kwenye ndege nimezima
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ndege naogopa kuliko nini sijui. Nikiwaga huko juu nasali sala zoteKudadadeki kumbe unaogopa ndege? Ungekua mwanajeshi siku ubahatike kupanda ndege ya Bangaladesh ungezima kweli... Maana yale spana mkononi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na usiombe kupanda halafu ukachungulia chini ukaona majumba kama kokoto... Na iwe mara yako ya kwanza kama una mimba pevu utajifungua tu.Yani ndege naogopa kuliko nini sijui. Nikiwaga huko juu nasali sala zote
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Sasa naangaliaga chini. Nikiwaza linaweza likaanguka nadata.Na usiombe kupanda halafu ukachungulia chini ukaona majumba kama kokoto... Na iwe mara yako ya kwanza kama una mimba pevu utajifungua tu.
Sent using Jamii Forums mobile app