Never trust a woman who had sex with man before meeting you

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
haya sio maneno yangu bali ni maneno ya mwana saikolojia tex william aliyoyazungumza mwaka 1947 ambaye nilikuwa namskiliza kupitia yotube

tex william anasema mwanamke ameshawahi kushiriki tendo la ndoa kabla yako hawezi kuwa na mapenzi ya dhati kwako kuliko yule mtu wa kwanza aliyekutana nae

tex william anasema mwanamke aliyeshiriki tendo la ndoa kabla ya kuwa huwa ana madhaifu na makucha mengi ambayo ameyaficha usiweze kumtambua ila siku utayogombana nae ndio utajua atakuja kukuonyesha makucha yake

tex william anasema moja kati ya dalili ya mwanamke aliyeshiriki tendo la ndoa na mwanaume zaidi ya moja ukikuchoka atakuwa anakulinganisha na wanaume wengine ambao ameshakutana nao kabla ya kukutana na wewe.

tex william anasema mwanamke wa aina hii ni ngumu sana kumtenganisha na ex wake wa zamani hata kama ameolewa siku akiomba lazim atapewa lakini pia mwanaume kama humridhishi basi ex wake atakuwa akikutana nae na kumpa

tex william anasema mwanamke wa hii hata umpe nini hawezi kukuona wa thamani kama yule mtoa bikra ambaye humuona wa thamani mpka anaingia kabulini

tex william anasema wanawake wa aina hii asilimia 90 mioyo yao imekufa ganzi kutokana na magumu na maumivu aliyopitia kabla ya kukutana na wewe hivyo linapokuja swala la kuvunja mahusiano kwao ni jambo la kawaida lakini pia hata ukimuacha hawezi kuumia kama aliyoumizwa na mtoa bikra hivyo kama unamwaacha anakuona wa kawaida

mwisho kabisa tex william anasema fanya ufanyavo ila uelewe mwanamke ambae ameshashiriki tendo la ndoa kabla ya kukutana wewe usije ukamwamini kwani upendo wake kwako hata akupende vipi hauwezi kuvuka asilimia 60 kwa sababu moyo wake umeshakufa ganzi tofauti na mwanzoni alimuamini mwanaume wa kwanza kwa asilimia 100 upendo wake kwake ambae ndio mtoa bikra
 
Mbna nimeshawahi kuona wadad wanagoma kurudiana na waliowatoa bikra baad ya kuachana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
- ujinga Sana; Hivi wanaweke wote waliotolewa bikira wana maumivu ya kuachwa? What if it wa their choice kuacha mwanaume?

- Hii Ni study ya 1947, do you real listen to eat?
 
Utafiti wa 1947 hauna uhalisia sana kwa sasa..
Afu kupata bikra labda ukatafute katoto vijijini huko!
 
- ujinga Sana; Hivi wanaweke wote waliotolewa bikira wana maumivu ya kuachwa? What if it wa their choice kuacha mwanaume?

- Hii Ni study ya 1947, do you real listen to eat?
mawazo kama yako watu wengi walikuwa nayo lakini baada ya kugundua wanasalitiwa na wenza wao wamebakia kutoa machoziiii humu jf aisee broo ushaambiwa never trust a woman lakini wee bado unaendelea kumwamnini
 
Inawezekana nasaltiwa kabisa ; Ila hiyo hinifanyi nikubaliane Na theory zote
 
unafahamu maana ya neno mke?

kwamba kumtoa msichana bikira ndio kigezo cha kuwa mke tayari?
mwanamke ukishamtoa bikra wewe tiyali ni mume wa moyoni ila unakuja kuoa wewe ni mume wa makaratasi

utamu aliupata toka kwa mtoa bikra ni tofauti atakaupata toka kwako
 
MMMH DONT THINK SO....
 
MMMH DONT THINK SO....
IVI HUJAWAHI KUSKIA KUNA WATU WAMEOA NA WANA MAKARATASI YOTE YA NDOA LAKINI UNYUMBA WANANYIMWA LAKINI EX WAKE AKITAKA ANAPEWA VILE ANAVYOTAKA NDO MAANA TUKASEMA KUOA WEWE NI MUME MAKARATASI UNAWEZA UKAOA NA USIPEWE LAKINI EX KILA SIKU ANAPELEKEWA SABABU NDO MUME WA MOYONI ANAJUA WAPI AMEMTOA
 
sasa ndio inatokea kwa kila mtu ?
 
Back
Top Bottom