Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweliSema tunachukulia vitu kirahisi sana
umenichanganya sana🤔🤔🤔haya sio maneno yangu bali ni maneno ya mwana saikolojia tex william aliyoyazungumza mwaka 1947 ambaye nilikuwa namskiliza kupitia yotube
tex william anasema mwanamke ameshawahi kushiriki tendo la ndoa kabla yako hawezi kuwa na mapenzi ya dhati kwako kuliko yule mtu wa kwanza aliyekutana nae
tex william anasema mwanamke aliyeshiriki tendo la ndoa kabla ya kuwa huwa ana madhaifu na makucha mengi ambayo ameyaficha usiweze kumtambua ila siku utayogombana nae ndio utajua atakuja kukuonyesha makucha yake
tex william anasema moja kati ya dalili ya mwanamke aliyeshiriki tendo la ndoa na mwanaume zaidi ya moja ukikuchoka atakuwa anakulinganisha na wanaume wengine ambao ameshakutana nao kabla ya kukutana na wewe.
tex william anasema mwanamke wa aina hii ni ngumu sana kumtenganisha na ex wake wa zamani hata kama ameolewa siku akiomba lazim atapewa lakini pia mwanaume kama humridhishi basi ex wake atakuwa akikutana nae na kumpa
tex william anasema mwanamke wa hii hata umpe nini hawezi kukuona wa thamani kama yule mtoa bikra ambaye humuona wa thamani mpka anaingia kabulini
tex william anasema wanawake wa aina hii asilimia 90 mioyo yao imekufa ganzi kutokana na magumu na maumivu aliyopitia kabla ya kukutana na wewe hivyo linapokuja swala la kuvunja mahusiano kwao ni jambo la kawaida lakini pia hata ukimuacha hawezi kuumia kama aliyoumizwa na mtoa bikra hivyo kama unamwaacha anakuona wa kawaida
mwisho kabisa tex william anasema fanya ufanyavo ila uelewe mwanamke ambae ameshashiriki tendo la ndoa kabla ya kukutana wewe usije ukamwamini kwani upendo wake kwako hata akupende vipi hauwezi kuvuka asilimia 60 kwa sababu moyo wake umeshakufa ganzi tofauti na mwanzoni alimuamini mwanaume wa kwanza kwa asilimia 100 upendo wake kwake ambae ndio mtoa bikra
Umenena vyema sana mkuu, hiki unachokisema niliwahi muuliza binti mmoja akaniambia kama hivi ulivyosema. End of the day watoeni Bikra lakini wakikutana na wazee wa kazi tunawapiga show mpaka na sisi watupe nafasi katika mioyo yao.Nani huwa anawadanganya juu ya haya mambo? Wanawake wengi hatuenjoy kufanya mapenzi katika umri mdogo, Sijui kwa wengine umri mdogo ni upi, kwangu mimi umri mdogo niliofanya mapenzi ni 20-25, nimeanza kuenjoy baada ya hapo, Kwa maana hiyo basi sijawahi kuenjoy kufanya mapenzi katika umri mdogo including ule wa kutolewa bikra.
Sijui kuhusu mengi ila huo "utamu alioupata kutoka kwa mtoa bikra" unaouzungumzia wewe, ambao pia hauna uzoefu nao, sababu wewe sio mwanamke, nilitaka kukwambia hilo ni jambo la kinadharia na halina uhalisia.
Mengine watajibia wengine lakini hili ni uongo wa wazi.