Never trust a woman who had sex with man before meeting you

Never trust a woman who had sex with man before meeting you

Wewe naniii hawa viumbe mbona tulisha sema hawaeleweki ukioa bikira atatamani ajue za nje zikoje.

So tafuta pesa akikupendeza oa kula mbususu akileta uhuni fukuza lea watoto basi hakuna muda wa kujishauri shauri

Since upo duniani lolote linaweza tokea. Kaa tayari
 
mwanamke ukishamtoa bikra wewe tiyali ni mume wa moyoni ila unakuja kuoa wewe ni mume wa makaratasi

utamu aliupata toka kwa mtoa bikra ni tofauti atakaupata toka kwako
Nani huwa anawadanganya juu ya haya mambo? Wanawake wengi hatuenjoy kufanya mapenzi katika umri mdogo, Sijui kwa wengine umri mdogo ni upi, kwangu mimi umri mdogo niliofanya mapenzi ni 20-25, nimeanza kuenjoy baada ya hapo, Kwa maana hiyo basi sijawahi kuenjoy kufanya mapenzi katika umri mdogo including ule wa kutolewa bikra.

Sijui kuhusu mengi ila huo "utamu alioupata kutoka kwa mtoa bikra" unaouzungumzia wewe, ambao pia hauna uzoefu nao, sababu wewe sio mwanamke, nilitaka kukwambia hilo ni jambo la kinadharia na halina uhalisia.

Mengine watajibia wengine lakini hili ni uongo wa wazi.
 
Hii kitu siikubali tena kama hawa wadada wasasa. Hawa watoto wanagongwa kila siku na Wala hawana Timu ya kuwakumbuka watu waliowatoa bikra
 
Hua unani inspire sana nisifanye makosa kama waliyofanya wengi.

Kwakweli haiingii akilini mtu na akili zako timamu unalivagaa jitu limeband*liwa hadi kinyaa afu wewe sasa ndo unatoka kifua mbele unasema hili ndo JITU LANGU LA MAISHA KATIKA SHIDA NA RAHA...hahaah unaakili kweli wewe???!
 
Hua unani inspire sana nisifanye makosa kama waliyofanya wengi.

Kwakweli haiingii akilini mtu na akili zako timamu unalivagaa jitu limeband*liwa hadi kinyaa afu wewe sasa ndo unatoka kifua mbele unasema hili ndo JITU LANGU LA MAISHA KATIKA SHIDA NA RAHA...hahaah unaakili kweli wewe???!

Mkuu hii kitu naiwazaga sana
 
Lakini tukienda mbele na kurudi nyuma ukijaribu ku connect dot hata kwenye vitabu vya dini na alichokisema MLETA mada , hii thread ina make sense kwa kiasi kikubwa...
 
- ujinga Sana; Hivi wanaweke wote waliotolewa bikira wana maumivu ya kuachwa? What if it wa their choice kuacha mwanaume?

- Hii Ni study ya 1947, do you real listen to eat?
Mbona kuna story na theory za kina newton na archimedes za miaka ya 1600's , 1700's huko na bado zinaaminika
 
Back
Top Bottom