Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
mhNa maagano ya damu kabisa
Sema tunachukulia vitu kirahisi sana
Nani huwa anawadanganya juu ya haya mambo? Wanawake wengi hatuenjoy kufanya mapenzi katika umri mdogo, Sijui kwa wengine umri mdogo ni upi, kwangu mimi umri mdogo niliofanya mapenzi ni 20-25, nimeanza kuenjoy baada ya hapo, Kwa maana hiyo basi sijawahi kuenjoy kufanya mapenzi katika umri mdogo including ule wa kutolewa bikra.mwanamke ukishamtoa bikra wewe tiyali ni mume wa moyoni ila unakuja kuoa wewe ni mume wa makaratasi
utamu aliupata toka kwa mtoa bikra ni tofauti atakaupata toka kwako
Hata kama alibakwa..??Aliyemtoa bikira ndio mme wake wa moyoni, wewe ni mpita njia tu. Hata hisia anavuta za mtoa bikira.
Kw niaba ya vibamia wote hapa jf..tunaomba ufute hii kauli mkuu, usitulinganishe vibamia na mambo ya ajabu ajabu ya huyo unayemuita HanithišHuyo Tex kama hakuwa kibamia basi alikuwa hanithi..aki vile ni stress hizo, lol.
Wap uliona shekheMbna nimeshawahi kuona wadad wanagoma kurudiana na waliowatoa bikra baad ya kuachana
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hua unani inspire sana nisifanye makosa kama waliyofanya wengi.
Kwakweli haiingii akilini mtu na akili zako timamu unalivagaa jitu limeband*liwa hadi kinyaa afu wewe sasa ndo unatoka kifua mbele unasema hili ndo JITU LANGU LA MAISHA KATIKA SHIDA NA RAHA...hahaah unaakili kweli wewe???!
Mbona kuna story na theory za kina newton na archimedes za miaka ya 1600's , 1700's huko na bado zinaaminika- ujinga Sana; Hivi wanaweke wote waliotolewa bikira wana maumivu ya kuachwa? What if it wa their choice kuacha mwanaume?
- Hii Ni study ya 1947, do you real listen to eat?
na hapa ndio ubaya wao ulipo, wao wanatuzidi kwa namba lkn hawawezi control this situations!.Pamoja na stori hiyo, wanaume ndio wanaongoza kuwa na mipango ya kando...