Never trust a woman who had sex with man before meeting you

Hio haifanyi kazi siku hizi..

Kuna mademu wamelala na wanaume hadi wengine wamewasahau,,,ila bado wanaolewa na ndoa zinadumu..
 
umenichanganya sana🤔🤔🤔
 
Umenena vyema sana mkuu, hiki unachokisema niliwahi muuliza binti mmoja akaniambia kama hivi ulivyosema. End of the day watoeni Bikra lakini wakikutana na wazee wa kazi tunawapiga show mpaka na sisi watupe nafasi katika mioyo yao.
 
Mimi hata kama mwanamke ananipenda kwa asilimia 0(0%) sioni shida kama ataniteremshia kasiketi kake na kunikatia viuno ili nimwage wazungu taaratibu kwa rahaa zangu
 
Ukitambua kuwa hakuna ku.ma kiporo huwezi kuumiza kichwa
 
1 Wakorintho 6:16
Maandiko yanasema, “Watu wawili watakuwa mmoja.” Hivyo mnapaswa kujua kuwa kila aliyeungana na kahaba, amekuwa mwili mmoja na kahaba.

UKIISHA FANYA MAPENZI NA MTU, TAYARI MMEWEKA AGANO. NA MTAFANYA MATUSI TU SIKU UKIONANA.
WENGI WANAISHI KINYUMBA NA WAUME AU WAKE ZA WENZAO.

NDIO MAANA MPAKA SASA HAKUNA SHERIA YA MAMBO YA UGONI/FUMANIZI.
KWA SBB KILA MTU ANAISHI NA MKE, MUME WA MWINGINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…