Nitaiangalia YouTube mkuu
Ila hawa jamaa maisha yao ni mazuri sana, majumba yana kila kitu
Kina 50 cent wana mpaka night club nyumbani kwao
Bongo sidhani kama mtu anaweza pewa eneo kubwa hivo akawa hasumbuliwi[ Denvers,
Bila kusahau kurogwa[emoji23]
OK sawaNadhani ni kwa sababu ya usafi
Ku share bafu na watu nasikia huwa ni rahisi kuambukiza magonjwa
Kabisa [emoji23]Mnataka kusema hawa jamaa wangekuwa hapa bongo yaani jiji loote la dar wasingezidi watu ishirini manake huwa wanamiliki maeneo makubwa sio wenzangu na mimi ana kaeka kamoja hapo masaki anaona kaibeba Dar,[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ni hekali 12,700 wala sijakoseaEkari 12,700 sidhani.
Inawezekana alikuwa na eneo kubwa lakini ekari 12,700 ni pakubwa sanaaa...hata ekari 120 tu unaweza kuimagine ina ukubwa gani?
Michael Jordan ana eneo la Ekari 5 na alikuwa akisifiwa kuwa mtu mweusi mwenye eneo kubwa sana, wao na Mike Tyson.
Hahaha ila ni kweli aiseeHawahitaji kujimwambafai saaana maana kila mtu anajua jamaa hela anazo.
Angalia hata Mengi hamna mtu alijua jamaa ana mjengo wa kufa mtu kule machame mpk alivyokufa ndo watu wakajua, ila angalia sasa vijana wa bongo fleva/movie wakina wema/wolper wanavyopenda kujimwambafai kwny nyumba za watu huku wamepanga,mpk hua wanafukuzwa kodi.
Hebu tuwekee na ya chibu dangote baba lao tuone
Noma sana mkuu.Hahaha ila ni kweli aisee
Hata wakinunua gari ni tabu
HahahaMadale yote nasikia ni eneo lake
Kuna mjinga arabuni ana jengo mnatembea na radio call usipobeba ukipotea imekula kwako!..Inasemekana nyumba ya Will Smith unaweza toroka home kwake ukakimbia weee ila bado ukawa ndani ya nyumba/Plot yake.. Very Huge.
That's Definition of Success not number of Followers
Bana wee hujatembea Iringa na Morogoro ndugu yangu!..Bongo sidhani kama mtu anaweza pewa eneo kubwa hivo akawa hasumbuliwi
Inategemea mtu na mtu.Hivi kwa nini kina Warren Buffet hawaji mwambafai kama hawa celebrities?
Naongezea tu Ulinzi wa Billgate na Mark Zuckerberg ni bajeti ya wizara nchi flani!.Mkuu
Bill gate nyumba yake sio ya mchezo,inaweza kutambua hadi watu waliomo na anafuga nyangumi
Wanajimwambafai ila sio sana
ndio hivyo mkuu,na ubaya wa wenzetu wanapenda maisha private sana.Mnataka kusema hawa jamaa wangekuwa hapa Bongo yaani jiji loote la dar wasingezidi watu ishirini manake huwa wanamiliki maeneo makubwa sio wenzangu na mimi ana kaeka kamoja hapo Masaki anaona kaibeba Dar.
[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeeKuna mjinga arabuni ana jengo mnatembea na radio call usipobeba ukipotea imekula kwako!..
Kuna yule jamaa anaitwa prince talal ,yule angekuwa mtamzania angekuwa muhaya,Naongezea tu Ulinzi wa Billgate na Mark Zuckerberg ni bajeti ya wizara nchi flani!.
Lakini kwenye mapicha wanatuonyesha wanatembea wenyewe mtaani, kumbe unakuta mtaa mzima walinzi, blarifuull!!
Watu wana maeneo makubwa huko ?Bana wee hujatembea Iringa na Morogoro ndugu yangu!..