Neverland Ranch (makazi ya Michael Jackson)

Neverland Ranch (makazi ya Michael Jackson)

Ekari 12,700 sidhani.

Inawezekana alikuwa na eneo kubwa lakini ekari 12,700 ni pakubwa sanaaa...hata ekari 120 tu unaweza kuimagine ina ukubwa gani?

Michael Jordan ana eneo la Ekari 5 na alikuwa akisifiwa kuwa mtu mweusi mwenye eneo kubwa sana, wao na Mike Tyson.
 
Mnataka kusema hawa jamaa wangekuwa hapa Bongo yaani jiji loote la dar wasingezidi watu ishirini manake huwa wanamiliki maeneo makubwa sio wenzangu na mimi ana kaeka kamoja hapo Masaki anaona kaibeba Dar.

[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaiangalia YouTube mkuu
Ila hawa jamaa maisha yao ni mazuri sana, majumba yana kila kitu
Kina 50 cent wana mpaka night club nyumbani kwao
Bongo sidhani kama mtu anaweza pewa eneo kubwa hivo akawa hasumbuliwi[ Denvers,
 
Mnataka kusema hawa jamaa wangekuwa hapa bongo yaani jiji loote la dar wasingezidi watu ishirini manake huwa wanamiliki maeneo makubwa sio wenzangu na mimi ana kaeka kamoja hapo masaki anaona kaibeba Dar,[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa [emoji23]
Kuna jamaa anaitwa elvis Presley naye sio poa,alikua na GRACE LAND eneo kama lote
 
Ekari 12,700 sidhani.

Inawezekana alikuwa na eneo kubwa lakini ekari 12,700 ni pakubwa sanaaa...hata ekari 120 tu unaweza kuimagine ina ukubwa gani?

Michael Jordan ana eneo la Ekari 5 na alikuwa akisifiwa kuwa mtu mweusi mwenye eneo kubwa sana, wao na Mike Tyson.
Mkuu ni hekali 12,700 wala sijakosea
Cheki hata google,yani kuna sehemu aliacha pori kubwa tu maana hakua na kazi nalo lote
 
Hawahitaji kujimwambafai saaana maana kila mtu anajua jamaa hela anazo.

Angalia hata Mengi hamna mtu alijua jamaa ana mjengo wa kufa mtu kule machame mpk alivyokufa ndo watu wakajua, ila angalia sasa vijana wa bongo fleva/movie wakina wema/wolper wanavyopenda kujimwambafai kwny nyumba za watu huku wamepanga,mpk hua wanafukuzwa kodi.
Hahaha ila ni kweli aisee
Hata wakinunua gari ni tabu
 
Inasemekana nyumba ya Will Smith unaweza toroka home kwake ukakimbia weee ila bado ukawa ndani ya nyumba/Plot yake.. Very Huge.
That's Definition of Success not number of Followers
Kuna mjinga arabuni ana jengo mnatembea na radio call usipobeba ukipotea imekula kwako!..
 
Mkuu
Bill gate nyumba yake sio ya mchezo,inaweza kutambua hadi watu waliomo na anafuga nyangumi
Wanajimwambafai ila sio sana
Naongezea tu Ulinzi wa Billgate na Mark Zuckerberg ni bajeti ya wizara nchi flani!.
Lakini kwenye mapicha wanatuonyesha wanatembea wenyewe mtaani, kumbe unakuta mtaa mzima walinzi, blarifuull!!
 
Mnataka kusema hawa jamaa wangekuwa hapa Bongo yaani jiji loote la dar wasingezidi watu ishirini manake huwa wanamiliki maeneo makubwa sio wenzangu na mimi ana kaeka kamoja hapo Masaki anaona kaibeba Dar.

[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ndio hivyo mkuu,na ubaya wa wenzetu wanapenda maisha private sana.

so unaweza tokea chanika mpaka tazara ni mapoli yana nyimba tano tu za watu maarufu.tokea msanii anaposhi mpaka uukute mji wa watu wengi ni kasafari rasmi kabisa.
 
Naongezea tu Ulinzi wa Billgate na Mark Zuckerberg ni bajeti ya wizara nchi flani!.
Lakini kwenye mapicha wanatuonyesha wanatembea wenyewe mtaani, kumbe unakuta mtaa mzima walinzi, blarifuull!!
Kuna yule jamaa anaitwa prince talal ,yule angekuwa mtamzania angekuwa muhaya,
 
Back
Top Bottom