Neverland Ranch (makazi ya Michael Jackson)

sanaaa!!.. ushawahi sikia mjengoni wanalalamika kuna watu wana maeneo ndege ndogo zinakuja na kuondoka bila kufuatiriwa zimebeba nini!.
Aise ,
Kuna watu wana mtonyo kumbe
Ila kuwa na eneo kubwa ni raha sana
 
Aise ,
Kuna watu wana mtonyo kumbe
Ila kuwa na eneo kubwa ni raha sana
Hivi unadhani ni matajiri pekee wenye maeneo makubwa?, hata watu wa kawaida sema tofauti hao matajiri wameyaendeleza wameweka mijengo ya maana, wameweza vuta huduma zote za msingi.
Wakati sisi masikini maeneo yapo porini huko tumeyafanya mashamba na hapo hatuyalimi maeneo yote unakuta mezidi sana ekari 10 ila namiliki mpaka ekari 20!.
 
Wick, Dream yangu ni kumiliki ranch
Kama inawezekana mtu wa kawaida kumiliki eneo kubwa basi ni habari nzuri mkuu
 
Dream yangu ni kumiliki ranch
Kama inawezekana mtu wa kawaida kumiliki eneo kubwa basi ni habari nzuri mkuu
Kwa sasa mtu wa kawaida inakuwa tabu labda ujitolee kwenda anzisha porini huko, ambako makazi ya watu bado!. Lakini itakubidi uweze kuvuta umeme, maji na barabara mpaka huko!.
Njia simple wanayoitumia wenye hela ni kununua mashamba ya wanakijiji.
 
Wame add salt

Lile eneo lilikuwa ni la joint venture na kampuni ya uwekezaji ya Colony capital

Kwahiyo si lake peke yake
Mkuu
Lilikuwa la michael,ila mwaka 2008 au 2009 muda mchache kabla hajafa alifilisika ndio ikabidi alimiliki pamoja ni hiyo kampuni
Hata vitu vingi aliviuza kwa sababu alifilisika
 
Nyumba ya Mzee Mengi ilijulikana kabla ya kifo chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…