Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sanaaa!!.. ushawahi sikia mjengoni wanalalamika kuna watu wana maeneo ndege ndogo zinakuja na kuondoka bila kufuatiriwa zimebeba nini!.Watu wana maeneo makubwa huko ?
Aise ,sanaaa!!.. ushawahi sikia mjengoni wanalalamika kuna watu wana maeneo ndege ndogo zinakuja na kuondoka bila kufuatiriwa zimebeba nini!.
Ule wa mwanza au ?Mi nataka nijenge mjumba kama wa DAB
Hivi unadhani ni matajiri pekee wenye maeneo makubwa?, hata watu wa kawaida sema tofauti hao matajiri wameyaendeleza wameweka mijengo ya maana, wameweza vuta huduma zote za msingi.Aise ,
Kuna watu wana mtonyo kumbe
Ila kuwa na eneo kubwa ni raha sana
Sebuleni kwakeView attachment 1262598
Kwa sasa mtu wa kawaida inakuwa tabu labda ujitolee kwenda anzisha porini huko, ambako makazi ya watu bado!. Lakini itakubidi uweze kuvuta umeme, maji na barabara mpaka huko!.Dream yangu ni kumiliki ranch
Kama inawezekana mtu wa kawaida kumiliki eneo kubwa basi ni habari nzuri mkuu
Mkuu ni hekali 12,700 wala sijakosea
Cheki hata google,yani kuna sehemu aliacha pori kubwa tu maana hakua na kazi nalo lote
MkuuWame add salt
Lile eneo lilikuwa ni la joint venture na kampuni ya uwekezaji ya Colony capital
Kwahiyo si lake peke yake
Very interesting.thank you.
Bagamoyo Kuna mtu anaitwa Mtalemwa kama Mwendazake halumfilisi,alikuwa ana estate kubwa sna.Lucas Mobutu,
Eneo kupata Bongo sio ishu ...ishu hiyo pesa ya kuwekeza hivyo na ku maintain mazingira.
Nyumba ya Mzee Mengi ilijulikana kabla ya kifo chake.Hawahitaji kujimwambafai saaana maana kila mtu anajua jamaa hela anazo.
Angalia hata Mengi hamna mtu alijua jamaa ana mjengo wa kufa mtu kule Machame mpaka alivyokufa ndo watu wakajua, ila angalia sasa vijana wa Bongo Fleva/Movie wakina wema/wolper wanavyopenda kujimwambafai kwenye nyumba za watu huku wamepanga,mpk hua wanafukuzwa kodi.