Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications

Hayo ni maandalizi ya uchaguzi mkuu kuhakikisha watu wenye mielekeo ya ukosoaji wa malaika mkuu wanaondolewa kwenye media zote ambazo chama kinapanga kuzitumia katika kampeni zake
 
Mwananchi Communications ni private entity,sio ya Serikali wala CCM.Sasa Mhe Magufuli anaingiaje hapo?Je,kama kampuni inabana matumizi na kuamua kusitisha mkataba?Je,kama wamekiuka maadili ya kampuni yao? Uongozi uwaangalie tu bila hatua kuogopa uzushi?Mengine ni siri ya ndani,sio lazima public iambiwe, ndio maana tunazusha yasiyozushika!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujibiwa, hivi KM, CCM katika ziara yake kwa NR alitembelea AM? baada ya MCL na IPPM?
 
Ha ha ha , Kifupi nikwamba tunahitaji chama bora tanzania cha siasa! Saivi hatuna chana cha upinzani!
Chama ni watu, si viongozi wala si jina la chama. Kama watu watakaounda hicho unachoita chama bora ni wale wale waliokuwa CHADEMA, NCCR, ACT na CUF, basi hapo labda unabadili jina tu
 

HUyu jamaa wa ajabu sana. Yaani anasema alikuwa Mwalimu wa siasa Jeshini na anatamka kwamba ni halali kwa Tanzania kufanya kitendo hadharani kinachopingana na azimio la Umoja wa Mataifa juu ya taifa ambalo tunasema tunaliunga mkono? Kwamba sisi kujieweka pembeni ya TRump kuwaunga mkono dhidi ya kitendo kinachokiuka azimia la UN ni sawa? Ujinga na upumbavu huu toka lini unakubalika hapa Tanzania?

Hebu muulizeni Kabudi juu ya hilo ili tujue CCM imeshuka kiasi gani hadi kufika kucheza kwenye takataka zinazonuka!

TUmebaki nna viongozi ambao hawana uwezo wa kufikiri kiasi hiki?
 
If you side with an oppressor you are none other than an oppressor, from today onwards i'll not buy Mwananchi. They are simply oppressors.
 
Chadema tena! Hicho chama saivi nichama cha nyumbani!
Nimeshangaa kuona list la walioandamana asilimia 98 nikutoka kwa mzee mbowe!

Ha ha ha , Kifupi nikwamba tunahitaji chama bora tanzania cha siasa! Saivi hatuna chana cha upinzani!
Eleza kwanini CCM na Polisi wanakosa usingizi na huweweseka muda wote. Iweje aliyeko nyumbani awakoseshe raha mlioko barabarani!
 
Huyu alikuwa mhariri wa gazeti la Chadema....... Tanzania Daima
 
Jajiimentoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…