Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications

Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications

Hatuwezi kuwa na nchi yenye uhuru wa habari, kama magazeti yenyewe ndiyo yanaongoza kwa self censorship.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Meena ni mwiba wa serikali kule tweeter
 
Mwananchi Communications ni private entity,sio ya Serikali wala CCM.Sasa Mhe Magufuli anaingiaje hapo?Je,kama kampuni inabana matumizi na kuamua kusitisha mkataba?Je,kama wamekiuka maadili ya kampuni yao? Uongozi uwaangalie tu bila hatua kuogopa uzushi?Mengine ni siri ya ndani,sio lazima public iambiwe, ndio maana tunazusha yasiyozushika!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Misukule ya ufipa mungu awaongoe yaani bila kufikiri Wala kuwaza wanakurupuka kuleta siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20200324-153353.jpg
Screenshot_20200324-153404.jpg
 
Wakuu,

Nimekuwa mbali kidogo na mji pamoja na mtandao. Ukiachilia mbali hili janga la Corona ambalo kila mmoja analisikia, mambo mengi yamekuwa yakinipita kama yanavyowapita ndugu zangu wengi wa vijijini.

Ninauliza tu, maana nimesikia juu juu - kwamba ndani ya miezi miwili kasoro, ndugu yangu Meena hayupo tena Mwananchi. Hivi ni kweli?

Kama nimekosea kuuliza niwieni radhi na kama post imekuja mahali pasipo sahihi pia niwieni radhi.

Nimebahatisha tu mtandao hapa.
 
Aisee! Una maana gazeti la mwananchi ni mali ya Rostam?
Ulikua huna habari?
Neville alijisahau sana,wakati tajiri yupo nje ya nchi
Tajiri ni kada mtiifu,karudi nchini hataki kabisa nchi na viongozi wake watukanwe
 
Back
Top Bottom