Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications

Hatuwezi kuwa na nchi yenye uhuru wa habari, kama magazeti yenyewe ndiyo yanaongoza kwa self censorship.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Meena ni mwiba wa serikali kule tweeter
 
Misukule ya ufipa mungu awaongoe yaani bila kufikiri Wala kuwaza wanakurupuka kuleta siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Nimekuwa mbali kidogo na mji pamoja na mtandao. Ukiachilia mbali hili janga la Corona ambalo kila mmoja analisikia, mambo mengi yamekuwa yakinipita kama yanavyowapita ndugu zangu wengi wa vijijini.

Ninauliza tu, maana nimesikia juu juu - kwamba ndani ya miezi miwili kasoro, ndugu yangu Meena hayupo tena Mwananchi. Hivi ni kweli?

Kama nimekosea kuuliza niwieni radhi na kama post imekuja mahali pasipo sahihi pia niwieni radhi.

Nimebahatisha tu mtandao hapa.
 
Aisee! Una maana gazeti la mwananchi ni mali ya Rostam?
Ulikua huna habari?
Neville alijisahau sana,wakati tajiri yupo nje ya nchi
Tajiri ni kada mtiifu,karudi nchini hataki kabisa nchi na viongozi wake watukanwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…