Neville Meena: Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari tumeacha misingi

Neville Meena: Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari tumeacha misingi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari wameacha misingi

Vyombo vya habari pamoja na waandishi wa habari tumeacha misingi... Kwa nini tumeacha misingi? Mazingira hayaruhusu kufanya kazi mazingira ya kisheria kuna mambo mengi..."

"Mazingira hayo yanasababisha watu warudi nyuma na washindwe kufanya kazi yao

Soma Pia: Neville Meena: Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari

Mazingira ya kichawa
Yeeeees!

Ni uchawa zaidi ya sheria.

Juzi kwenye mkutano wa Makonda waandishi walikuwa wana kiss ass ya Makonda hata alipokuwa anaongea vitu vya kihuni.

Huwezi kusema ni sheria zinawabana.

Makonda alimzodoa mkosoaji mmoja kwa kusema ameweka dawa feki ya rangi ya nywele kichwani, waandishi wakawa wanampa ushirikiano kumkumbusha jina na pia kujichekesha.

Ni wapi sheria inawabana Waandishi kuwazimisha ku kiss ass za Makonda ????
 
Kiukweli wote wanaoona Makonda anafaa kuwa kiongozi wana matatizo ya akili, watanisamehe kwa hili, sio makonda pekee kuna wengi tu hwafai hata kuwa wajumbe wa nyumba 5.
 
Back
Top Bottom