neville meena

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Neville Meena: Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari tumeacha misingi

    Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari wameacha misingi Vyombo vya habari pamoja na waandishi wa habari tumeacha misingi... Kwa nini...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Neville Meena: Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari

    Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Watanzania wapoteza imani kwa Vyombo vya Habari Anayetupima kwamba tunafanya kazi yetu vizuri ni yule tunayemwandikia. Ninachoweza kukiri ni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Meena: Kwanini Serikali inapokamata wezi wa fedha inawapeleka Mahakamani, lakini kwa Waandishi wa habari inageuka kuwa mkamataji na mtoa hukumu?

    Akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania Septemba 08, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amehoji utaratibu unaotumika kufungia vyombo vya habari ambapo ametaja kufungiwa kwa Gazeti la MwanaHALISI. "Kwamba kwa nini serikali inapokamata wezi wa fedha huwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Op-Ed: kulalamika kwa Neville Meena: Je, ni udhibiti wa dola au ni kufa kwa muhimili wa nne wa nchi?

    Na Kijana Wa Ifoza Katika Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini uliofanyika leo, Septemba 8, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena, ametoa kauli inayochochea mjadala mzito kuhusu mustakabali wa tasnia ya habari nchini. Meena amedai...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Neville Meena: Watu wa serikali wajifunze kuheshimu kazi za waandishi wa Habari, sisi tumesomea hii kazi

    Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ameeleza kuwa udhibiti mkubwa wa Serikali kupitia taasisi zake...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Neville Meena: Vyombo vya habari vilidhibitiwa na Serikali siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa chini, amesema Siku ya Uchaguzi oktoba 29, 2025, Serikali ilidhibiti Vyombo habari "Ukifuatilia taarifa za habari za vyombo vya...
Back
Top Bottom