PostGE2025 Neville Meena: Vyombo vya habari vilidhibitiwa na Serikali siku ya uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa chini, amesema Siku ya Uchaguzi oktoba 29, 2025, Serikali ilidhibiti Vyombo habari

"Ukifuatilia taarifa za habari za vyombo vya habari siku ile ni kwamba walitangaza tu kwamba uchaguzi umefanyika, umeanza, yaliyotokea baadae hayakuwa habari. Kwa nini? Kwa sababu kulikuwa kuna uthibiti mkubwa sana uliofanywa na serikali kupitia taasisi zake, kwamba serikali inajua habari kuliko waandishi wa habari wenyewe. Yaani serikali ikawa ndio wahariri, yaani wao ndio walikuwa wanaamua hii iende, hii isiende."

CCM wanaogopa nyeti zao kuonekana hazalani hawataki kusikia mutu akikosoa maujinga yao huyo anakua adui mwenywkustahili pyu pyu pyu
 
🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️​
 
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa chini, amesema Siku ya Uchaguzi oktoba 29, 2025, Serikali ilidhibiti Vyombo habari

"Ukifuatilia taarifa za habari za vyombo vya habari siku ile ni kwamba walitangaza tu kwamba uchaguzi umefanyika, umeanza, yaliyotokea baadae hayakuwa habari. Kwa nini? Kwa sababu kulikuwa kuna uthibiti mkubwa sana uliofanywa na serikali kupitia taasisi zake, kwamba serikali inajua habari kuliko waandishi wa habari wenyewe. Yaani serikali ikawa ndio wahariri, yaani wao ndio walikuwa wanaamua hii iende, hii isiende."

Ansbert Ngurumo simsikii kabisa siku hizi.
 
Back
Top Bottom