Neville Meena: Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari

Neville Meena: Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Watanzania wapoteza imani kwa Vyombo vya Habari

Anayetupima kwamba tunafanya kazi yetu vizuri ni yule tunayemwandikia. Ninachoweza kukiri ni kwamba umma kwa Watanzania ni kama umepunguza imani na vyombo vya habari."

"Ukipita kila unayekutana naye anakuambia siku hizi mnafanya nini? Siku hizi hamwandiki. Siku hizi mmeacha... Katika mazingira hayo endorsement ya umma kwetu imepungua na katika kupungua huko inabidi tufanye kazi ya ziada ili kurejesha."

Soma Pia: Neville Meena: Vyombo vya habari vilidhibitiwa na Serikali siku ya uchaguzi


 
Back
Top Bottom