New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Ninaamini Yesu Kristu ALIFUFUKA na huo ndiyo msingi mkuu wa mimi kuokoka siku ya kifo changu.

1681040472755.jpg
 
CCM IMEPOTEZA UWEZO WA KULINDA MALI ZA UMMA.

Na Thadei Ole Mushi.

Hivi hizi Ripoti za CAG zina manufaa yoyote baada ya kuzitoa? Kila mwaka madudu ni yale yale kwa nn watu hawaachi? Ni mwaka gani ambao Ripoti imewahi kuwa na unafuu?

Deni la Taifa linaongezeka huku watu wakiwa wanajichotea mabilioni ya Umma. Nani aliwahi kufungwa kisa Ripoti ya CAG iliwahi kumuibua kama mwizi wa mali za umma?

Mramba na Yona waliiba mabilioni ya Shilingi wakaishia kupewa adhabu ya Kufagia… yaani mtu anaiba Mabilioni ya Shilingi halafu adhabu yake inakuwa ni atupushe? Nani ataogopa kuiba?

Makamu wa Rais ana Mpango wa Kupeleka watu Asia kujifunza waliendeleaje. Kuna nchi zina Sheria Kali kama Nchi za Asia kuhusu ubadhirifu na wizi wa Mali za Umma? Kwani ni mara ya kwanza wataalamu kwenda kujifunza nje? Ina maana Makamu wa Rais hajui kuwa hatuendelei kwa sababu gani?

Tafuta kashfa zote kubwa Nchini anzia Richmond, Meremeta, Kiwira, Escrow na nyinginezo ambazo watu walichota mabilioni ya Shilingi halafu nenda kwenye magereza yetu kawatafute kama wapo huko.

Magereza yamejaa vibaka wa kuku na Simu huku mtaani. Still taifa linakopa kila kukicha na tunataka tupeleke Timu ikajifunze nje ya nchi waliendeleaje. Tumewehukwa? Tunafikiri sawasawa kweli?

Someni Ripoti za CAG za miaka mitatu Nyuma kashfa zilizokuwepo halafu tafuteni maazimio ya Bunge halafu tafuteni wahusika wapo wapi. Ni mwendo wa Kulindana tu….

Huyu Biswalo Hana miaka miwili toka ateuliwe na Vetting akifanyiwa kuwa jaji… leo tunaambiwa ana kashfa kubwa kiasi hiki… unajiuliza vetting zetu zipo accurate kweli? Sio huyo tu wengi ambao wana mamlaka kubwa kubwa tu nchini hawana tofauti na huyu Biswalo sema wapo kwenye mfumo wa Sasa na Biswalo anatoswa kwa kuwa alikuwa kwenye mfumo uliopita.

Naamini hata Utawala huu ukitoka watakaokuja wataibua madudu makubwa zaidi ya haya kwa waliopo kwenye mfumo Huu.

Nani ataogopa kuiba kama adhabu ni kupisha mwingine aingie? Kwa nini tunaogopa kuwaweka hadharani wezi wa mali za Umma?

Kwa bahati mbaya Upinzani nao kwa sasa hauna cha kuongea wanakimbizana na Ruzuku walikuwa watu sahihi sana wa kuwaongoza wananchi kwenye kujadili haya madudu na wizi mkubwa unafanywa serikalini. Kwa bahati mbaya nao wanalamba asali…..

Kuna wananchi wanakula Mlo mmoja huko mtaani, Sukari, Mafuta, Unga havishikiki lakini kuna watu wanaishi Dunia yao hapa Nchini. Si mnakumbuka Pale BOT kuna watu walichoma Fedha kwa ulaghai ili waibe mabilioni ya Shilingi? Taarifa zipo kwenye ripoti lakini wahusika hawapo mahakamani wala Gerezani.

Ripoti inasema ujenzi wa SGR kuna maeneo taratibu hazikufuatwa za kushindanisha wazabuni… maeneo kama hayo yanayotumia matrilion ya Shilingi hushindanishi wazabuni tafsiri yake ni kugawiwa 10% ambazo ndio hizi zinazofanya Deni la Taifa linaongezeka mara Dufu. Waliofanya hivyo wapo madarakani tunaendelea kuwalipa Mishahara, Posho, na V8 tumemuwekea mafuta asubuhi hii. Watoto wao wanasoma Shule nzuri za mamilioni ya Shilingi, wakiumwa wanatibiwa hadi nje ya nchi, sisi tunakimbizana na Shule hazina madawati wala Chakula huku wengine wakitafuna mwarobaini na mizizi ya mitishamba kutibu magonjwa yanayotibika kabisa hospitalini…. Nani anajali vijana wanajadili nani zaidi kati ya Mayele na Baleke…

Nani anajali? Kuna kiongozi mmoja Kenya aliwahi kusema kuwaongoza watanzania ni kazi rahisi sana kwa kuwa ni sawa na kuongoza Maiti.

Wapiga dili wanajua fika hii ripoti itaacha kujadiliwa ndani ya wiki mbili, wanatafuta tu story ya kutupumbaza tusahau. Bunge letu nalo tena hili la CCM watupu hakuna kitu cha maana kinaweza kutoka kwao…. Kwa sasa wanaweka maazimio kwanza ya kupongezana huku wakilipwa mamilioni ya Shilingi…. 2025 watakuja na Tshirt kutulaghai…. Ujinga mtupu.

Mabilioni yanayotajwa kwenye Ripoti ya CAG yanatisha…. Asubuhi hii kuna watu kibao wanaumwa wanashindwa kwenye Hospitali hawana fedha, kuna mtumishi wa Umma anaenda kukopa mahali kesho awabadilishie familia mlo siku ya Sikukuu wakati huo huo kuna watu wana account hadi China wengine Dubai wamehifadhi Mabilioni ya Shilingi.

Wananchi wamerundikiwa Tozo kwenye karibia kila huduma, tozo hizi zingeweza kuondolewa kama tutafanikiwa angalau kuzuia ubadhirifu huu kwa asilimi 10 tu.

Watanzania wote milioni 61 wanashangaa ripoti ya CAG. Moja ya kipimo cha kugundua serikali iliyopo madarakani imepoteza uwezo ni kushindwa kusimamia Mali za Umma. Kipimo hiki kinatosha kabisa kuiadhibu CCM na Serikali yake.

Hakuna Sababu ya CAG kuendelea kutumia mabilioni ya Shilingi kufanya uchunguzi. Hii ni kwa sababu Ofisi ya CAG inaendelea kupoteza fedha za Watanzania bila sababu.

Ole Mushi
0712702602
 
APRIL 9TH 2023

SOLEMNITY OF EASTER SUNDAY

FIRST READING
"We ate and drank with him after he rose from the dead. "
ACTS 10: 34a, 37 - 43

In those days: Peter opened his mouth and said, “You know the word which was proclaimed throughout all Judea, beginning from Galilee after the baptism which John preached: how God anointed Jesus of Nazareth with the Holy Spirit and with power; how he went about doing good and healing all that were oppressed by the devil, for God was with him. And we are witnesses to all that he did both in the country of the Jews and in Jerusalem. They put him to death by hanging him on a tree; but God raised him on the third day and made him manifest; not to all the people but to us who were chosen by God as witnesses, who ate and drank with him after he rose from the dead. And he commanded us to preach to the people, and to testify that he is the one ordained by God to be judge of the living and the dead. To him all the prophets bear witness that every one who believes in him receives forgiveness of sins through his name.”

The Word of the Lord


RESPONSORIAL PSALM
Psalm 118: 1 - 2, 15c - 17, 22 - 23 (R.) 24

R/. This is the day the Lord has made; let us rejoice in it and be glad.
Or:
Alleluia

Give praise to the Lord, for he is good;
his mercy endures forever.
Let the house of Israel say,
“His mercy endures forever.” R/.

“The Lord’s right hand has done mighty deeds;
his right hand is exalted.
The Lord’s right hand has done mighty deeds.”
I shall not die, I shall live
and recount the deeds of the Lord. R/.

The stone that the builders rejected
has become the cornerstone.
By the Lord has this been done,
a marvel in our eyes. R/.


SECOND READING
"Seek the things that are above, where Christ is"
COLOSSIANS 3: 1 - 4

Brethren: If you have been raised with Christ, seek the things that are above, where Christ is, seated at the right hand of God. Set your minds on things that are above, not on things that are on earth. For you have died, and your life is hidden with Christ in God. When Christ who is our life appears, then you also will appear with him in glory.

The Word of the Lord.


ALLELUIA
1st Corinthians 5: 7b, 8a

Alleluia.
Christ, our Paschal Lamb, has been sacrificed; let us, therefore, celebrate the festival in the Lord. Alleluia.


GOSPEL
He must rise from the dead."
JOHN 20: 1 - 9

On the first day of the week, Mary Magdalene came to the tomb early, while it was still dark, and saw that the stone had been taken away from the tomb. So she ran, and went to Simon Peter and the other disciple, the one whom Jesus loved, and said to them, “They have taken the Lord out of the tomb, and we do not know where they have laid him.” Peter then came out with the other disciple, and they went towards the tomb. They both ran, but the other disciple outran Peter and reached the tomb first; and stooping to look in, he saw the linen cloths lying there, but he did not go in. Then Simon Peter came, following him, and went into the tomb; he saw the linen cloths lying, and the napkin, which had been on his head, not lying with the linen cloths but rolled up in a place by itself. Then the other disciple, who reached the tomb first, also went in, and he saw and believed; for as yet they did not know the Scripture, that he must rise from the dead.

The Gospel of the Lord.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
APRIL 10TH 2023

MONDAY WITHIN THE OCTAVE OF EASTER

FIRST READING
“This Jesus God raised up, and of that we all are witnesses.”
ACTS 2: 14, 22 - 33

[On the day of Pentecost,] Peter, standing with the Eleven, lifted up his voice and addressed them, “Men of Judea and all who dwell in Jerusalem, let this be known to you, and give ear to my words. “Jesus of Nazareth, a man attested to you by God with mighty works and wonders and signs which God did through him in your midst, as you yourselves know — this Jesus, delivered up according to the definite plan and foreknowledge of God, you crucified and killed by the hands of lawless men. But God raised him up, having loosed the pangs of death, because it was not possible for him to be held by it. For David says concerning him, ‘I saw the Lord always before me, for he is at my right hand that I may not be shaken; therefore my heart was glad, and my tongue rejoiced; moreover my flesh will dwell in hope. For you will not abandon my soul to Hades, nor let your Holy One see corruption. You have made known to me the ways of life; you will make me full of gladness with your presence.’ “Brethren, I may say to you confidently of the patriarch David that he both died and was buried, and his tomb is with us to this day. Being therefore a prophet, and knowing that God had sworn with an oath to him that he would set one of his descendants upon his throne, he foresaw and spoke of the resurrection of the Christ, that he was not abandoned to Hades, nor did his flesh see corruption. This Jesus God raised up, and of that we all are witnesses. Being therefore exalted at the right hand of God, and having received from the Father the promise of the Holy Spirit, he has poured out this which you see and hear.”

The Word of the Lord.


RESPONSORIAL PSALM
Psalm 16: 1-2a and 5, 7 - 8, 9 - 10, 11 (R.) 1

R/. Preserve me, O God, for in you I take refuge.
Or:
Alleluia.

Preserve me, O God, for in you I take refuge.
I say to the Lord, “You are my Lord.”
O Lord, it is you who are my portion and cup;
you yourself who secure my lot. R/.

I will bless the Lord who gives me counsel,
who even at night directs my heart.
I keep the Lord before me always;
with him at my right hand, I shall not be moved. R/.

And so, my heart rejoices, my soul is glad;
even my flesh shall rest in hope.
For you will not abandon my soul to hell,
nor let your holy one see corruption. R/.

You will show me the path of life,
the fullness of joy in your presence,
at your right hand, bliss forever. R/.


ALLELUIA
Psalm 118: 24

Alleluia.
This is the day the Lord has made; let us rejoice in it and be glad.
Alleluia.


GOSPEL
“Tell my brethren to go to Galilee, and there they will see me."
MATTHEW 28: 8 - 15

At that time: The women departed quickly from the tomb with fear and great joy, and ran to tell his disciples. And behold, Jesus met them. and said, “Hail!” And they came up and took hold of his feet and worshipped him. Then Jesus said to them, “Do not be afraid; go and tell my brethren to go to Galilee, and there they will see me.” While they were going, behold, some of the guard went into the city and told the chief priests all that had taken place. And when they had assembled with the elders and taken counsel, they gave a sum of money to the soldiers and said, “Tell people, ‘His disciples came by night and stole him away while we were asleep And if this comes to the governor’s ears, we will satisfy him and keep you out of trouble.” So they took the money and did as they were directed; and this story has been spread among the Jews to this day.

The Gospel of the Lord.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom