New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

OUR MINERALS STOLEN FOR A SONG



By Chadema Media

GEITA. The Vice-Chairman of the main opposition political party - CHADEMA Mr Tundu Lissu has stated that the value of all the gold mined and sold abroad in the fiscal year 2021/22 was 3.6 billion US Dollars, equivalent to 8.6 trillion Tanzanian Shillings, but the country only earned 85.6 million US Dollars in tax revenue, which equals 1.732 billion Tanzanian Shillings.

"If I am not mistaken, the revenue that the government received is only 0.86 percent of all the money investors took out from our minerals," Mr Lissu said while addressing a public meeting in Geita on Monday, August 7, 2023.

He added, "Here in Geita, where gold worth 1 billion US Dollars, equivalent to 210 billion Tanzanian Shillings, is mined annually, the Municipality received only 700,000 US Dollars in revenue, equivalent to 1.732 billion Tanzanian Shillings. Means the revenue that Geita authorities received is more than zero percent of what the investor collected."

The outspoken opposition leader also mentioned that flawed investment agreements in the mining sector made by the government have led to a shortage of foreign exchange reserves, causing the country to struggle with importing petrol and diesel, which in turn has led to rising fuel prices and cost of living.

"Today here in Geita, I bought one liter of petrol for 3,280 Tanzanian Shillings. The Minister of Energy and Minerals, January Makamba, said fuel prices increased because our country doesn't have enough US dollars. So, let's ask ourselves, where have the dollars gone when we have gold mines that should be bringing in significant foreign income," Lissu questioned.

Adding, "Today the country lacks sufficient US dollars to import fuel, because of these reckless mining agreements entered into headlong by CCM governments starting from the late President Benjamin Mkapa's era."

Ends-
 
Mkuu usinipeleke mbio sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mkataba wa DP World unarandana ma mikataba ya ufaransa na makoloni yake?

Hebu pitia masharti ya wafaransa kwa makoloni yake.


DEAR COMPATRIOTS, IN VIEW OF ALL THESE MORAL, PHYSICAL AND PSYCHOLOGICAL SCAMS, THE NEW AFRICAN GENERATION MUST DO ITS PART TO RESTORE THE NATIONAL ACHIEVEMENTS OF OUR CONTINENT IN ORDER TO LEAVE A WORTHY LEGACY TO FUTURE GENERATIONS.
 
Mahakama Kuu Mbeya yahalalisha waarabu kutawala nchi hii kwa mgongo wa uwekezaji wa bandari zetu.

 
Kwanini uamuzi wa Mahakama Kuu Mbeya umekiuka katiba yetu na Geneva & Lome Conventions.

Wadau kwa vile hampendi sana udadavuaji unaenda ndani sana basi tutawakilisha hoja zetu kiujumla tu.

Baada ya kuutafakarinkwa ndani uamuzi wa kimahakama kuhusiana na azimio la kibunge liloridhia uwekezaji wa DP WORLD tungependa kuainisha uamuzi wa Mahakama kuu Mbeya haukujibu khoja za walalamikaji.

Aidha kwa ujanja ujanja walizipiga chenga na kuhalalisha sheria za nchi zetu kukiukwa hususani katiba yetu, sheria zake na yaliyomo na mantiki zake za matakwa ya mikataba ya kimataifa.

Kwanza, Mahakama Kuu Mbeya imebeza na kudhihaki matakwa ya kikatiba ya misingi ya uwazi, haki na ushindani ambayo imewekwa na kishinikizwa na sheria za manunuzi, makampuni, maliasili na haki za kusikilizwa.

Uamuzi unasema sheria zetu hazitumiki katika mikataba ya kimataifa bila kutoa majibu sahihi kama pamoja ma mkataba husika siyo mkataba wa kimataifa kama tutakavyofafanua baadaye.

Uamuzi kughairi kutoa majibu kama ni sahihi kwa Kampuni binafsi kama Dubai kuwa sehemu ya mkataba wa kimataifa chini ya Geneva na Lome Conventions. Hakuna mahali popote pale

Dhdhdhdhd…..


Pili, katika hali ya kusikitisha uamuzi umetathmini katiba ya Falme za Kiarabu ili kuamua kama Dubai inaweza kuingia mikataba sahihi wakati utaratibu sahihi wa kisheria ni kutathmini kama Dubai ina sifa zilizoanishwa na sheria za kimataifa ina wasifu wa kuingia mikataba ya kimataifa na hivyo kuwa na sifa ya kunufaika na haki zilizobainishwa kwenye mikataba hiyo.

Tatu, uamuzi ulizisigina sheria za manunuzi kuwa hazitumiki kwenye mikataba ya kimataifa lakini ilipokuja sheria za maliasili waliona zinahusika na kuzichambua. Maamuzi ya kimahakama yanapaswa yawe yanazingatia kanuni moja hayawezi yakawa yana migongano kama tuliyoiona hapo. Aidha sheria zote zinahusika kwenye mikataba ya kimataifa au hazihusiki haiwezekani sheria zetu zikawa zinahusika nusunusu.

Nne, hii hoja ni mwendelezo wa khoja ya tatu hapo juu. Katika kuihalalisha kampuni ya Dubai kuwa sehemu ya mkataba mahakama kuu Mbeya ilibidi iitengue sheria ya manunuzi ambayo imeweka bayana upatikanaji wa huduma na bidhaa kwa matumizi ya serikali kuhakikisha misingi iliyomo kwenye katiba ya usawa, uwazi, ushindani na uwajibikaji izingatiwe. Mahakama Kuu Mbeya kwa kuibeza sheria ya manunuzi ambayo imepitishwa na Bunge ili kuhakikisha Katiba yetu inazingatiwa inaufanya uamuzi wake kukiuka katiba yetu ambayo wanapaswa kuilinda kulingana ma sheria zetu.

Tano, uamuzi uiikana sheria ya mikataba na kudai haihusiki wakati wanakiri mikataba midogo midogo inayojulikana kama HGAs itahusika. Sheria ya mikataba yetu inabatilisha Dubai kuingia aina yoyote ya mikataba lakini kama tulivyoona kwenye sheria ya manunuzi pale sheria zetu zikikataza Mahakama Kuu Mbeya ilizifuta na kusema hazihusiki.

Sita, uamuzi ulitengua kanuni za haki ya kisikilizwa ambazo zinakataza kuhisia maamuzi ambayo hayajafanyika lakini uamuzi huu ulidiriki kudai mapungufu ya ushirikishwaji wa wananchi yasingetengua azimio la kibunge. Hizi ni hisia ya kimahakama na hakuna mahali popote kwenye uamuzi wao ambapo walitoa ushahidi wao kuthibitisha maoni yao kuwa utaratibu wa kusikilizwa usingebadili.misimamo ya bunge juu ya azimio lao.

Saba, uamuzi ulijikita mno kwenye maamuzi ambayo yanahalalisha bunge kutowajibika kwa wananchi wake na maamuzi waliyoyatumia ni hasa ya India, Uingereza na Afrika ya Kusini bila ya kufanya jitihada yoyote ya kuona kama katiba zao zina Ibara za uwajibikaji wa bunge kwa wananchi kama zetu. Mfano uingereza wanazo sheria zinazohitaji kura ya maoni kama kujitoa EU na yapo maamuzi kwenye hilp sisi hatuna sheria ya maoni kama hiyo, India ni nchi inayoendeshwa na majimbo na kuongezwa ushirikishwaji kinyume ma sheria zetu. Pia Afrika ya Kusini ni kama India. Hivyo, haikuwa sahihi kwa Mahakama Kuu Mbeya kudabua maamuzi ya mahakama ya nchi tajwa nila ya kujihakikishia mazingira yao kweli kiuhalisia yanashabihiana na ya kwetu

Nane, uamuzi haukufanyia kazi misingi ya haki, utu, ushirikishwaji, ushindani, uwazi, uwajibikaji na usawa iliyomo kwenye makubaliano ya Kimataifa ya Geneva na Lome.na ulichukulia kijuujuu tu kuwa ilifuatwa jambo lilichangia sana kupindisha haki.

TUONAVYO.

Uamuzi huu umeonyesha mahakama zetu haziko huru maamuzi yake kila wakati hupendelea serikali.

Haya ni matatizo ya kimfumo ambao umehakikisha unayemshtaki kwa kukiuka haki zako ndiye anateua majaji kwa vigezo ambavyo jamii haivijui na huchagua ni majaji wapi wasikilize shauri lako kupitia Jaji Mkuu ambaye jamii hata haijui alipatikanaje.

Matokeo yake pamoja na katiba kuwapa raia haki za kuwajibisha serikali yao lakini katiba hiyo hiyo imewapa watawala mamlaka ya kufanya watakavyo
 
Ukiona mahakama inatumia katiba ya Falme za Kiarabu kuhalalisha Dubai ni nchi inayostahili kunufaika na sheria za mikataba ya kimataifa badala ya kujikita kwenye Lome & Geneva Conventions ujue hatuna mahakama. Uhalali wa Dubai na DP WORLD kuingia mikataba ya kimataifa inabidi utokane na Geneva & Lome Conventions siyo katiba za nchi husika.

Inapokuja DP WORLD kukidhi mahitaji ya kisheria ya kuingia mkataba kwa sheria zetu wanasema sheria za mikataba haziwahusu bali zitawahusu baadaye. What kind of nonsense is this? Aidha kama haiwahusu sasa basi hata baadaye haitawahusu au kinyume chake
 
MAHAKAMA ZETU HAZIKO HURU ni kitengo cha dhuluma cha sisiemu!



Ukiona mahakama inatumia katiba ya Falme za Kiarabu kuhalalisha Dubai ni nchi inayostahili kunufaika na sheria za mikataba ya kimataifa badala ya kujikita kwenye Lome & Geneva Conventions ujue hatuna mahakama. Uhalali wa Dubai na DP WORLD kuingia mikataba ya kimataifa inabidi utokane na Geneva & Lome Conventions siyo katiba za nchi husika. Uamuzi huu unamaanisha Zanzibar kwa vile katiba yake nayo inajiita ni nchi basi inaweza kuingia mikataba ya kimataifa na kulindwa na makubaliano ya Geneva & Lome Conventions jambo ambalo ni batili.




Inapokuja DP WORLD kukidhi mahitaji ya kisheria ya kuingia mkataba kwa sheria zetu wanasema sheria za mikataba haziwahusu bali zitawahusu baadaye. What kind of nonsense is this? Aidha kama haiwahusu sasa basi hata baadaye haitawahusu au kinyume chake.

Ukiona mahakama inaikana katiba yetu na sheria zake kuwa hazihusiki na usimamizi wa mali za umma bali ni makubaliano ya mezani kati ya watawala wa pande mbili za mkataba ujue hatuna mahakama bali tuna viwavi jeshi.

Ukiona mahakama wanarudiarudia kwenye maamuzi yake misimamo ya serikali iliyoko majukwaani kuwa ndiyo sheria ujue hatuna mahakama


Ukiona mahakama zinaona sawa kampuni binafsi kuwa sehemu ya mkataba wa kimataifa kwa kukebehi sheria zetu za manunuzi na mikataba bila ya kujikita ni ibara zipi za Geneva na Lome Conventions zimeruhusu hayo basi ujue hatuna mahakama.


Ukiona maamuzi yanaahirishwa ahirishwa kwa visingizio waheshimiwa wana udhuru wakati hata Msajili anaweza kuyasoma maamuzi yao basi ujue hatuna mahakama maana kuna mambo ya kichinichini yanaendelea. Ni mgao unasubiriwa kabla ya uamuzi kusomwa kama hautoki wana uamuzi kinzani upo kwapani [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787] [emoji23] [emoji2] [emoji3] [emoji1]

Ukiona mahakama inazikana baadhi ya sheria kwa vile zina makatazo na kubatilisha mkataba huku baadhi zisizo na athari tajwa wanazifanyia kazi na hivyo kujipinga pinga wenyewe basi ujue hatuna mahakama. Aidha sheria zote zahusika au hazihusiki. Huwezi kuamua za manunuzi na mikataba haziwahusu lakini za maliasili zinawahusu bila kuanisha hiyo migongano inahalalishwa na sheria zipi au maamuzi yapi ya kisheriabunge.


Ukiona mahakama inaoni juu ya nafasi ya maoni ya wananchi kuwa hata kama yangetolewa Bunge haliwajibiki kuyazingatia kinyume na kanuni za haki ya kiasili hesabu huna mahakama.


Ukiona mahakama haioni batili sisi tubebeshwe majukumu tu bila haki yoyote ujue huna mahakama. Wajibu bila haki ni utumwa. Kama mikataba midogo midogo itamaliza huo ubishi kwanini wajibu mbele na haki baadaye? Kwanini wajibu na haki usiwemo kwenye makubaliano zije kuwekwa zote baadaye?


Ukiona mahakama inatumia kitabu (porojo) cha kada nguli wa chama tawala Pius Msekwa kubatilisha ibara ya 8 ya katiba inayosema mamlaka zote zinatoka kwa wananchi wa JMT basi ujue idara ya mahakama sasa ni dawati la dhuluma la chama tawala.

Ukiona Rais anamwongezea muda usiyo ma kikomo Jaji Mkuu ili ateue majaji wanaoegemea watawala ujue lazima ukiri kutoka sakafu ya moyo wako idara ya mahakama ni dawati la dhuluma la chama tawala.

Ukiona standing orders za bunge zinatengua ibara ya 8 katiba kwenye uamuzi wa kimahakama basi ujue huna mahakama wewe bali una kijiwe cha kulangua haki za wanyonge
 
Huu sasa ndiyo upotoshaji. Mahakama kuu Mbeya imekataa mapingamizi yote dhidi ya uwekezaji wa DP WORLD isipokuwa eneo la muda wa masaa 24 ya bunge kupokea maoni ya wananchi ambao waliona hautoshi.

Lakini Mahakama iliona muda ni suala la kanuni za bunge (Standing Orders) ambazo mahakama haina uwezo wa kuwaingilia.

Mgogoro wote Mahakama Kuu iliutupilia mbali hivyo huyu mwandishi aidha hajui kusoma uamuzi au hata hajausoma au kwa sababu anazozijua yeye kaamua kupotosha tu.

Habari ya mwandishi imeambatanishwa hapo chini:-


 
Ndugu Watanzania,

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.

Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, watu waliojitambulisha kuwa ni Askari ndio wamewakamata pasipo kutaja kosa lao na wapi wanapelekwa zaidi ya kuambiwa ni Maelekezo kutoka Juu. Pia, vifaa vyao vya mawasiliano (Simu za mkononi) vimechukuliwa.
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…