New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

For how long shall we stand watching the Sunni Arabs taking over the major means of our economy transforming us unto slaves in our own country?
 
Will this humiliation which the 1960s freedom fighters branded FEDHEHA not manufacture and foster new economic freedom fighters?
 
Well, history says where there is injustices violence is boiling underneath
 
Unless, the economy is in the hands of the citizens this country is heading to a bloody confrontation
 
The purpose of political independence was to pave way for economic independence
 
But what we see is a manifestation of a destructive policy of undermining the very fabric of our society which guarantees peace and tranquility
 
Ndiyo maana mambo hayendi kila kitu ni sheria hivi hakuna utaalamu mwingine kwenye baraza la mawaziri?


Factsheet:

1. Jerry Slaa, Waziri Ardhi-Mwanasheria.

2. Anthony Mavunde, Waziri Madini-Mwanasheria.

3. Pindi Chana, Waziri Katiba na Sheria-Mwanasheria.

4. Dr. Damas Ndumbaro, Waziri Sanaa na Michezo-Mwanasheria.

5. Omary Mchengerwa, Waziri Tamisemi-Mwanasheria.

6. Ummy Mwalimu, Waziri afya-Mwanasheria.

7. George Simbachawene, Waziri Utumishi-Mwanasheria.

9. Angela Kairuki, Waziri Maliasili-Mwanasheria.

10. Ridhiwan Kikwete, Naibu Waziri Utumishi-Mwanasheria.

11. Byabato, Naibu Waziri mambo ya Nje-Mwanasheria.

12. Judith Kapinga, Naibu Waziri Nishati-Mwanasheria.

13. Geofrey Pinda, Naibu Waziri Ardhi-Mwanasheria
 
Who is who?

Identical twins or else?
 

Attachments

  • IMG-20230903-WA0018.jpg
    IMG-20230903-WA0018.jpg
    72.5 KB · Views: 2
Hawezi kuwa kingmaker kwa sababu CCM wanao wakurugenzi wa manispaaa na Halmashauri kazi yao ni moja tu kuiba kura
 

Attachments

  • IMG-20230903-WA0025.jpg
    IMG-20230903-WA0025.jpg
    45.3 KB · Views: 2
Tunahitaji haki za mpigakura zilindwe hizo za haki jinai ni tunda la uwajibikaji kwa mpigakura
 
Chalamila ukatoliki wako uko wapi?

Tuna mkuu wa mkoa ambaye kwa kujikomba hana mithili.

Ila nguvu ya khoja hana bali kupayuka tu akitarajia tutamwamini kwa makelele yake.

Ukweli ni kuwa ukatoliki wa Chalamila ni tumbo lake. Tunachoona anakhoji mambo ya kiroho ili kukidhi mahitaji yake binafsi ya kimwili.

Tunasema hatujawahi kumwona mkatoliki anakhoji matamko ya kiroho ya kanisa.

Kwa mtazamo huo tunasema Chalamila siyo mkatoliki. Kaukana ukatoliki kwa kuyakana matamko ya kanisa.
 
Teuzi za majaji hazishirikishi wananchi ambao ndiyo waathirika na maamuzi yao
 
Kwa mteuzi kufanya teuzi tajwa bila kuwashirikisha wananchi tunasema hatuwatarajii majaji watutendee haki bali kuwapendelea waliowapa tonge
 
Tunasema na tutaendelea kusema kwa mfumo uliopo wa teuzi za kimahakama ambao siyo shirikishi tunaishia kuwa na idara ya mahakama isiyo huru na kamwe haiwezi kuwatendea watanzania haki
 
Waziri wa kilimo anajikoroga. Viazi vya mviringo vinavyotoa maji mengi na havina ladha ni vuno la GMO.

Kama hajui ni vizuri akatafuta wakumpa darasa tosheleza.

Aache undumilakuwili
 
Tunasema baraza hili la mawaziri ni kikosi kazi cha kuiba kura siyo kutatua kero za wananchi.

Tutafafanua siku za usoni
 
Back
Top Bottom