Kama CCM wakifanya kweli hii ya mitaa ambayo si lolote sasa likija babalao 2025 hawaoni watawagalagaza huku wao wanapigania urais wakati hawana mkakati wowote ule wa kupambana na wakurugenzi wa manispaa na Halmashauri ambao uteuzi wao sifa kuu ni kuwa mwizi wa kura bila haya au khofu ya Mwenyezi Mungu?