New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Ananunua watoto huko mikoani anakojipitishapitisha wamwite RAIS, RAIS, RAIS
 
Ni ujumbe anamtumia Lisu ambaye naye hajaandikiwa kuwa Rais ya kuwa safari hii ni zamu yake
 
Mbowe kwa ututusa wake hajui anauhujumu upinzani kwa uroho wake na uchu wake wa madaraka
 
Mbowe alipoona 2020 nyota ya Lissu inawakawaka akaamua kununua watu wamgonge miguu yake ili kumfunika Lissu
 
Huo ndiyo mshahara wa zezeta yaani ni kuambulia maumivu kwenda mbele hakuna kivuno
 
Tungependa kuwashauri cdm wamshauri huyu mlafi wao ajikite uchaguzi wa mitaa mwakani ambako CCM kikosi kazi kinalenga kuibuka na 100% ya ushindi
 
Kama CCM wakifanya kweli hii ya mitaa ambayo si lolote sasa likija babalao 2025 hawaoni watawagalagaza huku wao wanapigania urais wakati hawana mkakati wowote ule wa kupambana na wakurugenzi wa manispaa na Halmashauri ambao uteuzi wao sifa kuu ni kuwa mwizi wa kura bila haya au khofu ya Mwenyezi Mungu?
 
Kama Mbowe ndiye atakuwa mgombea wa CDM wajiandae kisaokolojia kupoteza hata kiti kimoja walichonacho bungeni
 
Sasa tunabashiri yafuatayo

Mbowe hatashinda urais au kurejesha kiti cha ubunge cha HAI
 
Wakati CDM wanajikomba kwa CCM nguvu hiyo kama wangelikuwa na busara wangeitumia kwa mwafaka na kovid 19
 
Mwafaka na kovid 19 utawaongezea nguvu ya kupata viti vingi bungeni
 
Upinzani ukigawanyika mwanguko wake utasikika hadi kusikopaswa kusikika
 
CDM wanaudharau uchaguzi wa mitaa lakini wakishindwa vibaya itakuwa vigumu kudai uchaguzi mkuu wameibiwa kura
 
Badala ya kuendeleza migawanyiko ya kugombea urais ambao kamwe hawataupata wangejipanga kuwabana wakurugenzi tajwa watende haki
 
Ifike mahali wakurugenzi wasemwe na wapigakura na kuwazomea kila mahali
 
Back
Top Bottom