Watu wa namna hii hawapaswi kupewa mamlaka ya ajira, nidhamu na masilahi ya wafanyakazi kwani wataburuzwa na watendaji waliowakuta humo humo.
Kwa muundo na uwezo mdogo wa wajumbe wa bodi tajwa huishia kupelekeshwa na menejimenti ..
Bodi hazina uwezo wa kusimamia menejimenti kwa sababu hazikuundwa kwenda kuthibiti menejimenti bali kuwapigia magoti nao walambe lambe