New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Watu wa namna hii hawapaswi kupewa mamlaka ya ajira, nidhamu na masilahi ya wafanyakazi kwani wataburuzwa na watendaji waliowakuta humo humo.

Kwa muundo na uwezo mdogo wa wajumbe wa bodi tajwa huishia kupelekeshwa na menejimenti ..

Bodi hazina uwezo wa kusimamia menejimenti kwa sababu hazikuundwa kwenda kuthibiti menejimenti bali kuwapigia magoti nao walambe lambe
 
Tunahitaji sheria za manpower establishment ya kila taasisi ya umma kukomesha ajira kuzidi mahitaji halisi
 
Taasisi zote za umma kuna ajira ziada na manpower establishment itaweka ukomo wa idadi ya wafanyakazi kwa kila taasisi ya umma ambayo menejimenti haiwezi kuzidi na kama wakizidisha basi yawe ni makosa ya uhujumu uchumi
 
Yaani wengi walioajiriwa hawana hata kazi ya kufanya ili mradi wawepo kwenye payroll
 
Haya ni baadhi ya maeneo yatapunguza matumizi na kuliziba pengo litakalojitokeza kwa kufuta kodi mbalimbali kama tulivyoshauri
 
A photo worthy a thousand thoughts!

Hapo hakuna udini wala jinsia
 

Attachments

  • PSX_20230921_101717.jpg
    PSX_20230921_101717.jpg
    125.9 KB · Views: 1

View: https://youtu.be/QN9bczdnMLg?si=fq2F28y7WI5sRwhP

Tunasema tena na tutaendelea kukumbushana Rasimu ya katiba ya Warioba na marekebisho yake siyo mwafaka wa nchi hii.

CUF Zanzibar walisema walipinga na hivyo theluthi mbili hazikupatikana ila Samuel Sitta alizichakachua kura zao.

Hii ni khoja nzito kisheria na kisiasa.

Hatuwezi kuifumbia macho hata kama wako wanaopigia upatu rasimu batili

Na bado hatujabeza mantiki na yaliyomo kwenye rasimu tajwa
 
DPP akifuta kesi waathirika wanapaswa kufidiwa kwa hasara walizozipata
 
Haiwezekani mtu aswekwe lupango miaka 4 au zaidi halafu kesi ifutwe na hafidiwi kwa usumbufu na kupoteza kipato
 
Kesi ya kubambikiziwa ni kesi yoyote ambayo DPP kaifuta au kashindwa mahakamani
 
Sheria ya fidia iweke fidia ya malipo ya siku anayolipwa kima cha chini kwa siku
 
Back
Top Bottom