New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

The wages of indiscretion are here. If you imported a bullet proof SUV do you really need to noise it abroad attracting unwanted URA attention? A little silence was all was needed. Too much talking has now alerted future assailants to reassess their future plot against him.


PSX_20210410_140927.jpg
 
Hata kwa bunge hili hili haijalishi. Pia CCM hawawezi wakakubali uchaguzi urudiwe au kesi zifunguliwe kirahisi. Kikwete in kweli alituuza kwenye swala la katiba.

Lakini kwa sasa cha muhimu ni kuweka mkazo(pressure) ya kutosha. Na hii inahitaji kujitoa kweli kweli.

Vyama vya upinzani vinahitaji kutoshiriki uchaguzi wowote hadi katiba mpya inayoeleweka ipatikane.

Shida wanajisahau. Wao wakipata ubunge/udiwani wanaridhika na kuacha kusisitiza swala la katiba. Wanasahau huwa wanapita kwa "hisani" tu. Akitokea mtu kama Magufuli ambae hajali, wanapokonywa viti vyao kinguvu na hamna kitu wanaweza kufanya, kama ilivyotokea 2020. Wanaishia kung'ung'unika. Kwasababu kiuhalisia katiba iliyopo haiwapi nguvu kudai na kupata haki zao.

Vyama vya wafanyakazi pia inabidi vi-coordinate migomo katika kila sector.

Wanafunzi pia wagome/waandamane.

Mfano tu afrika kusini(Soweto), china(Tienanmen square) na juzi kati hong Kong, maandamano ya wanafunzi yamewasumbua na kuwaumiza vichwa watawala. Tanzania tu migomo ya wanafunzi inawatiaga kiwewe, hadi saa zingine vyonbo vya dola vinaingilia kati.

Vyote hivi vifanyike huku makundi hayo yakisisitiza katiba mpya. Halafu uone kama CCM hawajaanza wenyewe kutafuta watu kwaajili ya maridhiano ili mchakato wa katiba mpya uanze.

Shida ni huwa tunadanganyika na maneno matamu + uoga + kutokujitoa, ndo maana kila leo tunaishia kuongea vitu vile vile, ila hamna kinachobadilika. Kwasababu CCM hawapati pressure yoyote kutoka kwa wananchi, na kuendelea kuhisi kuwa wanatumudu. We need to prove them wrong.

Honestly Askofu Mwamakula alikuwa on to something kuhusu maandamano ya kudai katiba sema alikosa support ya kutosha.
Vyama vya Upinzani hawana uthubutu wa kuongoza haya yote. Wanadanganyika mapema na kuamini upepo wa ccm wa nyakati na nyakati..... mfano act wamekubali kubebwa kwa haya inakuwa vigumu sana wananchi kujua nini wafanye..
Wananchi wawapigie kelele viongozi wa upinzani wasiwe wa kuyumbayumba wanawayumbisha sana wananchi
Lakini all in all Safari ya Ukombozi ni Jukumu la kila Mwananchi anayejitambua
Katiba Mpya ni muhimu lakini wa kuipitisha si Bunge au..... Kwa Bunge hili liliopo tutalia zaidi
Binafsi sioni faida ya hili Bunge wote wababaishaji wapo kimaslahi zaidi
 
Vyama vya Upinzani hawana uthubutu wa kuongoza haya yote. Wanadanganyika mapema na kuamini upepo wa ccm wa nyakati na nyakati..... mfano act wamekubali kubebwa kwa haya inakuwa vigumu sana wananchi kujua nini wafanye..
Wananchi wawapigie kelele viongozi wa upinzani wasiwe wa kuyumbayumba wanawayumbisha sana wananchi
Lakini all in all Safari ya Ukombozi ni Jukumu la kila Mwananchi anayejitambua
Katiba Mpya ni muhimu lakini wa kuipitisha si Bunge au..... Kwa Bunge hili liliopo tutalia zaidi
Binafsi sioni faida ya hili Bunge wote wababaishaji wapo kimaslahi zaidi
Act Wazalendo wamesema watashiriki uchaguzi kwa hiyo kugoma ni kuwasaidia Act Wazalendo kura za upinzani zisigawanyike.

Wanasiasa wote wako kimkao wa kula tu ndiyo maana kuhamahama si shida hawana sera zaidi ya matumbo yao.

Nchi hii siyo ya kwenda mahali kwa vile waathirika wakubwa vijana hawajitambui kabisa.

Wakati wa Kampeni wananunuliwa kwa hela, kofia au burudani tu na kusahau kero zao.

Kwa hali hii ni vigumu kuzungumzia mabadiliko wakati wanufaikaji wakubwa wanataka wengine wawahangaikie badala ya wao wenyewe kudai haki zao
 
Right Relationships

At an Alpha Conference we held in East Malaysia, there were people from all over Asia. Many had been persecuted because of their faith. One man told me that his father had been imprisoned for six years for the simple fact that he was a Christian pastor. He himself was imprisoned for a year, aged nineteen, for speaking out on behalf of his father.
It is a terrible injustice when the innocent are convicted and imprisoned – even worse when they are executed.
In the New Testament passage for today we read of one of the greatest injustices in human history. Jesus was totally innocent. He was ‘a righteous man’ (Luke 23:47). Yet he was executed by crucifixion. The apostle Peter explains it like this: ‘For Christ died for sins once for all, the righteous for the unrighteous, to bring you to God’ (1 Peter 3:18).
The word ‘righteous’ is often associated with the ‘self-righteous’, and has almost become a term of abuse. However, ‘righteous’ in the Bible is a wonderful word. It is also extremely important for our understanding of the whole Bible. ‘Righteousness’ is ultimately about right relationships – a right relationship with God and right relationships with others. In the New Testament, we come to understand that this righteousness is only possible through faith in Jesus Christ (see Romans 3:21 – 4:25).
 
Back
Top Bottom