New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Tatizo wa kuwaandaa wapigakura wamejikita kupigania matumbo yao na hawatafanikiwa
 
Code:
Juzi Mhe.Rais alimteua Prof.Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki).
Ijumaa tar.1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. 
Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa. 
Lakini jana usiku akafurushwa na kupelekwa ofisi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. 
Yaani ameondolewa kwenye nafasi akiwa bado hata hajaingia ofisi aliyoteuliwa.

Kwahiyo Prof.Kennedy ndiye Katibu Mkuu ambaye amedumu kwa kipindi kifupi sana maana ametenguliwa kabla hata hajaingia ofisini. 
Wizara ya mambo ya nje inaingia kwenye historia ya kuwa na Katibu Mkuu ambaye haijui ofisi. 
Kwa kuwa tayari alishaapa, jina lake litakuwepo kwenye orodha ya Makatibu wakuu wa wizara. Lakini "tenure" yake itakua siku moja, maana aliapishwa September 1 na kuondolewa September 3 bila kuingia ofisini.

Anyway, nadhani timu ya Rais inayoshughulika na "vetting" za viongozi haifanyi kazi yake ipasavyo. Huwezi kumteua Katibu Mkuu wa wizara nyeti kama ya Foreign kwa kubahatisha. Kama walikua hawana uhakika nae wasingemteua. Bora nafasi ingebaki "vacant" kuliko kumteua mtu leo na kumuondoa kesho.

Inaonekana hakuna umakini kwenye teuzi. Maafisa wanaomsaidia mama wanapiga ramli.

Na hii si mara ya kwanza. Kuna jamaa mmoja aliwahi kuteuliwa DED na DAS kwa wakati mmoja. Ikaleta gumzo hadi yakafanyika mabadiliko.

Mwingine aliteuliwa Ukurugenzi Mkuu na kutenguliwa usiku kabla hajaapishwa.

Miezi michache iliyopita aliteuliwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama kuwa Katibu Ikulu na baada ya siku moja au mbili akatolewa.

Timu ya "vetting" imsaidie Rais vizuri.
Iache kufanya betting.
 
Taarifa ya Ikulu haipaswi kuwa ya kubahatisha, inapaswa iwe firm and legitimate. 

Isiwe kama taarifa ya vicoba vya Mburahati. Fanyeni vetting sio betting.!

TZ sio ile tuliyozoea,umakini umedrop sana.
 
WANAZUONI WANENA

BARUA YA WAZI KWA MUHESHIMIWA SPIKA WA BUNGE LA JMT, DKT. TULIA ACKSON


Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunapenda kukushukuru kwa kutoa mwongozo Bungeni Leo tarehe 29 Agosti 2023 kuhusu MKATABA WENYE UTATA WA BANDARI, kuwa bado Bunge lako linapokea maoni ya Watanzania kusudi yaweze kufanyiwa kazi na Bunge lako kama serikali litaona jambo hilo linafaa. Sisi Wanazuoni tumeamua kuandika mapendekezo yetu kama ifuatavyo:

THAMANI HALISI YA BANDARI YETU YA DAR ES SALAAM KWA SASA

Wanazuoni tunapenda kulijulisha Bunge lako Tukufu kuwa wachangiaji wengi wa mjadala huu wa Bandari wakiwemo viongozi wa Serikali wanashindwa kutaja thamani halisi ya sasa ya Bandari yetu ya Dar es Salaam.

Kutokana na Taarifa rasmi za Benki ya Dunia na tafiti mbali mbali za wasomi nguri na wabobezi wa Uchumi na mambo ya Bandari katika usafirishaji majini inakaridiwa kuwa Bandari ya Dar es Salaam ni ya NNE kwa Ukubwa kwenye Bara zima la Afrika na ina thamani ya Dola za Kimarekani billion 400 USD ni sawa na Pesa za Kitanzania Shilingi Trillion 900 .

Kwa Sheria iliyotungwa na Bunge la JMT ilikabidhi mamlaka ya Bandari (TPA) nguvu za Kisheria kusimamia rasimali hii ya Watanzania wote kwa niaba. Mpaka Wanazuoni tunaandika Maoni haya Mh. Spika, Bandari yetu haina ubia na mtu yoyote au Taifa lolote wala kampuni yoyote Dunia. Hivyo Taifa zima lipo kwenye lindi la sintofahamu pamoja na wasi wasi mkubwa muno unaoambatana na hofu kubwa ya kupoteza umiliki wa Bandari zetu.

Kwa thamani hii ya Bandari lazima Mkataba wa IGA ubadilishwe kabisa na kuondoa vipingele vyote vyenye utata na ukakasi kwa wenye mali ambao ni Wananchi wa Nchi ya Tanzania. Ukielewa thamani ya Bandari utaweza kujua mwekezaji analeta mtaji kiasi gani?? Katika ubia wowote utakaofanyika lazima Serikali kupitia TPA ndiyo awe majority shareholders Zaidi ya asilimia sabini (70%).

Sababu kubwa ya Wanazuoni kujenga hoja hii ni kwamba hakuna mwekezaji anayeweza kuzidi au kufikia thamani ya Bandari yetu ya dola za Kimarekani billion 400. Je ni dola ngapi za Kimarekani anataka kuwekeza ??? . Hivyo tunashauri Bunge lako kufuta Azimio mlilopitisha kimakosa na kujisahihisha ni jambo ambalo mtaliponya Taifa ambalo lipo kwenye mgawanyiko wa tetemeko la Kisiasa ambalo halijawahi kutokea katika historia ya Nchi yetu.

MIKATABA KUTENGENEZA GHARAMA YA UWEKEZAJI YA UDANGANYIFU

Jambo la Pili, tunaomba Bunge lako tukufu kuzingatia maoni ya Wataalamu wa ndani akiwemo Profesa Issa Shivji ambaye alitoa angalizo kuwa wawekezaji wengi wanaokuja Afrika wana tabia ya kuzidisha gharama za uwekezaji yaani wanatabia ya (over-pricing).

Wanatoa magharama makubwa ya kununua mitambo kuliko uhalisia na wanaweka vipengele vyenye riba kusudi pesa iongezeke hata kama hakuna uwekezaji mkubwa baada ya muda Taifa linajikuta kwenye madeni makubwa kutoka kwa mwekezaji.

Kumbuka wawekezaji wanatumia Rushwa kubwa na nono hivyo lazima Bunge kama Taasisi isimame imara kulinda na kutetea rasimali za Nchi. Ndiyo maana Mh. Spika Wanazuoni tunakuomba usibadilishe sheria ya kulinda rasimali za Taifa kama ambavyo mlikuwa mmependekeza.

UBAGUZI KUMEGA TAIFA

Jambo la Tatu Wanazuoni tunashauri eneo linalozunguka Bandari pale Kurasini mpaka maeneo yote ya Kilwa road, Chuo Cha Polisi , Kurasini mpaka chuo cha Uhasibu tumepewa taarifa kuwa eneo lote hilo mwekezaji DP World anataka kununua na kuwalipa fidia watu binafsi pamoja na Taasisi za umma kwa kuziamisha kwenda nje ya Mji mbali na Bandari ilipo.

Kitendo hiki cha kumpa eneo la kimkakati mwekezaji huyu wa Dubai tunakwenda kutengeneza “LOLIONDO NYINGINE BANDARINI” kwani eneo hilo litampa umiliki wa Bandari na litahatarisha uhuru wa Kiuchumi wa Taifa letu pamoja na ulinzi na Usalama wa Taifa kwa ujumla. Tunashauri eneo hilo linunuliwe na TPA hata kwa gharama yoyote iwe ni sehemu ya uwekezaji wa serikali kwa niaba ya Watanzania. Mwekezaji yeye akodishwe eneo hilo kurahisha kupakua na kushusha mizigo tu.

Kwa uzoefu wa wawekezaji wenye asili ya kiarabu wanayo tabia ya kujitenga yaani kujibagua na watu wenye asili ya Afrika yaani wana kitu kwa lugha ya kizungu kinaitwa Institutional racism ipo kwenye damu zao , mfano mzuri nenda Loliondo kwenye eneo lao huwezi kukanyaga. Mara nyingi wenyeji wanaozunguka Loliondo wanapigwa risasi kwa kuwinda karibu na kitalu cha Waarabu.

Wakinunua eneo hilo la Bandari na kulimiliki na miaka ijayo 20 wataweza kukataza Mtanzania kufika kwenye eneo lao na hapo Watanzania watajiona ni watumwa ndani ya Nchi yao.

Kwa sasa Mh. Spika unaweza usione shida lakini miaka 20 au 30 ijayo viongozi wa sasa watakuwa ni wazee wapande zote hivyo kutakuwa na kizazi kipya cha Dubai na Tanzania. Hivyo ili kulinda kizazi kijacho Tafadhali Mh. Spika Bunge lako lishauri Serikali kutofanya makosa hayo la kuwamilikisha eneo la kimkakati.

KIFO CHA UHURU WA TAIFA NA KIFO CHA CCM

Jambo la NNE, Wanazuoni tunashauri mtengamano wa kisiasa Nchini maana swala hili la Bandari linaweza kulipasua Taifa vipande vipande na tutabaki kujuta na tutashindwa kurudisha Amani ya Taifa hili. Mifano ipo mingi Libya, Sudan, Somalia na Congo. Mkataba huu wa Bandari unaweza kulipeleka Taifa letu kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe vizazi vijavyo kama tukishindwa kupata muafaka wa Kitaifa kwenye jambo hili sasa. Limechagiza kwa kiasi kikubwa sana mpasuko wa Utanganyika na Uzanzibari kuliko wakato wowote wa historia ya Nchi yetu.

Mh. Spika tunaliomba Bunge lako kuacha kupuuza maoni ya Watanzania ambao ndiyo wenye Nchi na mamlaka yote yanatoka kwao. Bandari ambalo ndilo lango kuu la Uchumi wa Taifa letu likikabidhiwa Kampuni binafsi ya kigeni kwa asilimia 70% za mapato kwenda nje ni lazima utambue kwamba hapo baadaye miaka 20 au 30 ijayo , CCM na Wananchi watapoteza nguvu za kisiasa na Kiuchumi hivyo DP World ndiyo wataweza kuamua nani awe Rais wa Nchi yetu na tukifika hapo tutakuwa tumepoteza uhuru wa Nchi yetu (Soveregnity).

Tunawasilisha
 
WANAOUZA BANDARI HAWATAKI UJUE THAMANI YAKE!


Thamani ya bandari ya Dar-es-Salaam ni $4T.

World Bank imeishusha thamani ya bandari ya Dar-es-Salaam kwa 1000% na kusema ni $ 400 Bill.

Anakuja mwarabu anakuahidi sifuri na unampa $ 4T khalafu tusikukamate na kukuburuza hadi MILEMBE siyo ukapimwe bali ukatibiwe maana fyuzi zote zimeungua.

Yaani hata uwe umehongwa kutuuza hivi kichwani huna hata fyuzi moja imebaki?

Hata ubia mwekezaji gani mwenye $ 4 T?

Kweli tumelaaniwa. Unawapa bandari bure na unafuta ajira na mapato ya nchi na kutuongezea ufukara ili wewe na familia yako mneemeke huku mwajidanganya mtabaki salama.

Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuùuuuuuuuuuuuuuuu!
 
CCM hutamba wao ni familia ya V8 lakini hawatuambii nani kawawezesha.

Wawekezaji feki hawana mchango kwenye pato la taifa ila kuwarubuni CCM kwa peremende kama kuwanunulia V8s.

Kama wanabisha waje wajibu khoja.

1) Ruzuku kwa mwaka ni ngapi?

2) Matumizi kwa mwaka ni ngapi?

3) Michango ya wanachama kwa mwaka ni ngapi?

4) V8s ziligharimu ngapi?

Kwa mahesabu yetu V8s hazitokani na mapato ya CCM bali hongo za wawekezaji ambazo ni kichocheo cha kutolipa kodi ipasavyo.

Kama mnabisha tupeni takwimu za mchango wa wawekezaji kwenye bajeti ya kila mwaka ya serikali kuanzia 1995.

Sheria za kodi mbona zinabana raia na kuwapa ahueni wawekezaji feki ambao ni waporaji wa pato la taifa?



View: https://youtu.be/xF18HG1yEt0?si=ZK4-jgPtOD__WliS

Mbona masikini wanalipa kodi na matajiri hawalipi?

Hata maandiko mnayakana yanayosema mzawa hapaswi kulipa kodi bali wakuja ndiye anayepaswa kulipa lakini analindwa kwa manufaa ya nani? (Jisomee Matayo 17:24 - 27.)
 
CCM hutamba wao ni familia ya V8 lakini hawatuambii nani kawawezesha.

Wawekezaji feki hawana mchango kwenye pato la taifa ila kuwarubuni CCM kwa peremende kama kuwanunulia V8s.

Kama wanabisha waje wajibu khoja.

1) Ruzuku kwa mwaka ni ngapi?

2) Matumizi kwa mwaka ni ngapi?

3) Michango ya wanachama kwa mwaka ni ngapi?

4) V8s ziligharimu ngapi?

Kwa mahesabu yetu V8s hazitokani na mapato ya CCM bali hongo za wawekezaji ambazo ni kichocheo cha kutolipa kodi ipasavyo.

Kama mnabisha tupeni takwimu za mchango wa wawekezaji kwenye bajeti ya kila mwaka ya serikali kuanzia 1995.

Sheria za kodi mbona zinabana raia na kuwapa ahueni wawekezaji feki ambao ni waporaji wa pato la taifa?



View: https://youtu.be/xF18HG1yEt0?si=ZK4-jgPtOD__WliS

Mbona masikini wanalipa kodi na matajiri hawalipi?

Hata maandiko mnayakana yanayosema mzawa hapaswi kulipa kodi bali wakuja ndiye anayepaswa kulipa lakini analindwa kwa manufaa ya nani? (Jisomee Matayo 17:24 - 27.

Walaaniwe
 
Ukilinganisha uamuzi wa Mahakama kuu Mbeya na haya mabadiliko inabidi ujiulize wale waheshimiwa wana matatizo gani hata wasione makubaliano kati ya Dubai na Tz yalikiuka sheria tajwa.

Bila kuzifuta sheria tajwa, DP WORLD is dead au utekelezaji wake ni batili!



Tanzanian officials seemed to back down this week for the first time in the face of persistent resistance to the country's port management contract with an Emirati corporation.
In addition, the Tanzanian government has abandoned a study of rules that would have benefited the contentious deal with DP World. On Tuesday, Attorney General Eliezer Feleshi said that the government has withdrawn proposed modifications to two laws controlling Tanzania's natural resources that were up for debate in the National Assembly.

Mr Feleshi stated at a parliamentary sitting in Dodoma that the government had accepted 'advice' from a House committee to delete the two parts of the Bill containing the proposed revisions. “Following our meeting with the Parliamentary Governance, Constitutional and Legal Affairs Committee, both sections have been scrapped and the Bill amended accordingly," he disclosed.

Parts 4 and 5 of the Bill proposed amendments to the Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act and the Natural Wealth Resources (Review and Re-negotiation of Unconscionable Terms) Act, both of 2017, to ensure that neither act could be used to "prejudice the performance of sea, dry, and lake ports in Tanzania."

Facing mounting resistance, Tanzanian officials backtrack on the controversial port management contract with DP World.
Tanzania withdraws proposed amendments to two key laws related to natural resources, signaling a reevaluation of the DP World deal's terms.
Public condemnation, legal challenges, and parliamentary scrutiny continue to cast doubt on the port management agreement's viability.
Tanzanian officials seemed to back down this week for the first time in the face of persistent resistance to the country's port management contract with an Emirati corporation.

In addition, the Tanzanian government has abandoned a study of rules that would have benefited the contentious deal with DP World. On Tuesday, Attorney General Eliezer Feleshi said that the government has withdrawn proposed modifications to two laws controlling Tanzania's natural resources that were up for debate in the National Assembly.

Mr Feleshi stated at a parliamentary sitting in Dodoma that the government had accepted 'advice' from a House committee to delete the two parts of the Bill containing the proposed revisions. “Following our meeting with the Parliamentary Governance, Constitutional and Legal Affairs Committee, both sections have been scrapped and the Bill amended accordingly," he disclosed.

Parts 4 and 5 of the Bill proposed amendments to the Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act and the Natural Wealth Resources (Review and Re-negotiation of Unconscionable Terms) Act, both of 2017, to ensure that neither act could be used to "prejudice the performance of sea, dry, and lake ports in Tanzania."

According to the plan, the changes will "enable Tanzania's ports to operate at international standards level and attract more countries, more ships, and larger cargoes."

The Inter-Governmental Agreement (IGA) inked last year between Tanzania and Dubai (UAE) required both parties to guarantee that their legislation allowed the seamless execution of the IGA and future host government agreement (HGA).

The IGA was intended to allow the Dubai-based global logistics giant DP World to take over operations at the port of Dar es Salaam first, and maybe other sea and lake ports in Tanzania in the future.

Since it was authorized by parliament on June 10 of this year, the contract has received heavy public condemnation from a variety of players, including opposition politicians, legal experts, and religious clergy who feel that, as written, it would benefit the Dubai corporation more than Tanzania.

The two statutes at issue were notably highlighted in a recent High Court case in which four private people petitioned for the agreement to be invalidated on the grounds that it violated Tanzania's constitution and threatened the country's sovereignty and security. The petition was denied by the High Court on August 10.

The Governance, Constitutional, and Legal Affairs Committee halted its own preliminary consideration of the proposed modifications last week, saying it needed further "clarification" from the administration on the "contents" of the plan.

Following AG Feleshi's intervention on Tuesday, National Assembly Speaker Tulia Ackson prohibited further debate in parliament "until such time as further agreements related to the IGA are brought before us for review."
 

Attachments

  • PSX_20230906_100826.jpg
    PSX_20230906_100826.jpg
    106.6 KB · Views: 2
  • PSX_20230906_100841.jpg
    PSX_20230906_100841.jpg
    126.8 KB · Views: 1
Albeit, we are very sympathetic to the frustration experienced during the whole saga
 
It is incredulous in 21st Century, Tanzania dearth of quality leadership is perpetual narrative
 
Doling out our ports to foreign entity is a concession of the leadership rot amidst us
 
All the problems cited are within out means to resolve them, if and only if, we had good leadership which unfortunately we do not have
 
Babu kasepa!

Hivi ulitegemea nini mahakama zipo mfukoni?

Ukisikia hakuna ushahidi ujue upo ila haukathaminiwa tu!


Nigeria’s presidential election tribunal ruled on Wednesday that Nigeria’s main opposition parties failed to prove claims of electoral malpractice against the governing All Progressives Congress (APC) in February’s disputed elections.

“This petition is hereby declared unmeritorious,” one of the judges said, as the tribunal rejected the opposition challenge to Bola Tinubu’s win in the presidential election.
 

Attachments

  • PSX_20230906_203208.jpg
    PSX_20230906_203208.jpg
    127.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom